Mkuu kwani zile make up wanazoeka usoni haziwekeki sehemu nyengine katika mwili? mana make up kiboko nayo....hahhahahaahaha amepaka ile kitu kule chugga tunaita 'lukaria'
Mkuu kwani zile make up wanazoeka usoni haziwekeki sehemu nyengine katika mwili? mana make up kiboko nayo....hahhahahaahaha amepaka ile kitu kule chugga tunaita 'lukaria'
Unataka kuwahi mkuu?ni kweli na Juma Jux wamebwagana ?
Vanessa mdee kila siku anakuja na style mpya ya mavazi ya stegini
Akiwa uko nigeria alitupia kivazi kama cha beyonce akisubiri kupanda stegini
View attachment 496702View attachment 496703
Ila mshabiki hawapitwi na kitu wengi wakimshambulia rangi ya makalio yake
Namba ya simu mkuuHajaolewa