Vanessa Mdee ndani ya bifu na WCB kisa wimbo wa kijuso

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
Inasemekana kuwa Vanessa Mdee ameingia kwenye bifu na wasanii wa WCB kisa wimbo wa kijuso accoring to shilawadu
Vanessa alikuwa ameingiza vocal kwenye nyimbo hiyo ila WCB wakatoa sauti yake na kumpa Queen Darleen
 
Umetoka lini huo wimbo wa Mo Kijuso mchezaj wa zaman wa Simba
 
Wimbo kwani ulikuwa wa vanessa au ulikuwa wa nani? Kama hauko wake alishirikishwa na aliyemshirikisha akaona hajafanya poa akaamua muondoa sioni tatizo
 
Mkuu kujichubua haimfanyi mtu awe mzungu. Anyway, nani aliyekudanganya wazungu sio watu wa kumaindi
Jamaa mkuu hamaanishi kuwa kujichubua ila nafikiri ilimaanisha Vanesa life style yake siyo ya kiswahili hiyo ishu ataipotezea kutokana na maisha yake na mziki wake anavyo jiweka kama mzungu!
 
Ndio zao hizo.

Subiri yule msema ovyo aende Cloud's kumporomoshea matusi maana jamaa hataki kabisa kusemwa vibaya wala kukosolewa.
 
Jamaa mkuu hamaanishi kuwa kujichubua ila nafikiri ilimaanisha Vanesa life style yake siyo ya kiswahili hiyo ishu ataipotezea kutokana na maisha yake na mziki wake anavyo jiweka kama mzungu!


ndio maana nikauliza hapo juu nani kasema wazungu sio watu wa kumaindi? Halafu kujiweka kama mzungu ndio kujiweka vipi?
 
Huyu nae hakuna
Anachofkiria zaid
Yakupata pesa ya kuvaa bikin
Na flatcreen yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom