valuvalu[wasi wasi]

beibe nasty

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
1,640
Reaction score
525
mekaa hapa roho hainipi kabisaa nkasema laahasha yabid niingie humu maana my judgement sijawasiliana nae leo saana kwakweli sasa wale mliokuwa mnajifanya mnamkeep busy baasi mwenye mali ndo nshatua maana nilikuwa nahisi kama kuna vibaka. Za jioni lakin jaman
 

judgement ndo nani huyo.!??
 
Hehehee shem achana na Junior. Cux kapigwa buti na Madame B so ana hasira mbaya shem wangu....
Relux ma JG
Btw...nimekumiss sana

Hehehe shem yeye mtoto mdogo alipenda watu wazima sahiz yeye analeta za kuleta kukunwa nikulekule
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…