Valentine's day special greetings Zone

Hahhaaaaa. Yeah nimewahi kutunduka kidogo. Ninavyoonekana mpole sasaaa!!!... nikieleza stori zangu za utungu sio rahisi mtu kuniamini.... naonekanaga najisingizia.. inabidi nilizimue ziku nilete kwere nyingi sana.. Nawapimia tu? angalao nipunguze kuonewa onewa huruma

Afu kule kijijini tulikua tunalima tumbaku... sema ilikua ya akina Babu wanasaga na kuvuta (ugoro)...
Hahahaaaa. Lol. Kumbe zshawahi kuwa mtundu eh?
donlucchese sijuu yuko wapi? Nilikosea kummention.
 

Thanks so much nasikia tu ni mkwe wangu Kaizer japo sijatambulishwa rasmi.
Happy Valentine's day too.
 
Last edited by a moderator:
Sijaona sehemu alokudonya mbele yangu. Afu pia sijaona sehemu uliponisalimu. Laana nyingine ni za kujitakia.

Kwi,kwi,kwi,kwi,kwi,kwi,kwi,kwiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!
 
Sitaki kuonana na wewe

Ninakuja huko na nilikua nimekluweka kwenye orodha ya nitakao watembelea

Nimekuondoa kwenyi list

Kwaheri ya kuonana .......lol!!!!!!!


umenipunguzia mashuzi...........na usifikiri nitaku-beg unirudishe kwenye list!
 
umenipunguzia mashuzi...........na usifikiri nitaku-beg unirudishe kwenye list!

Nakuambiajeeeeeeeee
Sitaki tena

Iwe mashuzi au gogo utajua mwenyeweeeee

Nimechokaaaa ......lol!!!!!!!
 

Attachments

  • 1392367151699.jpg
    35.6 KB · Views: 125
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…