Valentine's day special greetings Zone

thank u very much kadoda!! happy valentine day to! be gud ! usifanye mchezo wa kibaba baba leo! ukimwi mtupuuuuu!
 

Ahsante sana Karucee,

Kwa hisani ya mizimu yote ya dunia hii...uwe na baraka tele wewe na wote uwapendao...

Naomba kukushirikisha na wadau wote wa MMU nyimbo za bibi...



 
Last edited by a moderator:
alaaaaaa....kuuumbeeee!!!! Haya basi tutaonana!!!

Sitaki kuonana na wewe

Ninakuja huko na nilikua nimekluweka kwenye orodha ya nitakao watembelea

Nimekuondoa kwenyi list

Kwaheri ya kuonana .......lol!!!!!!!
 
Ahsante sana Karucee,

Kwa hisani ya mizimu yote ya dunia hii...uwe na baraka tele wewe na wote uwapendao...

Naomba kukushirikisha na wadau wote wa MMU nyimbo za bibi...



Nyimbo za bibi kali. Asante.
 
Last edited by a moderator:
Nyimbo za bibi kali. Asante.


Ndiyo maana tunakukaribisha uje tukuimbie kiduchu....

Halafu collection ya Bibi ina utajiri mwingi sana wa nyimbo, hadithi na mazaga zaga kibao....

Ulishasikia wimbo wa Abdul Misambano wa "Asu wangu"??

Tunautafuta huu wimbo toka 2010 na Rose1980 alituahidi kuwa watatupa....
 
Last edited by a moderator:
 
Kwa hiyo hutaki pia kucheza na yeye....lol!!
Tena nilikuwa nimepanga kucheza nae mchezo mzuri sana
Tena mtamu kweli kweli .....lol!!
Nawatakia "V" day njema wadau wote wa MMU na JF kwa ujumla!!
Asante sana babu
Ukimuona KOKUTONA mwambie sio vyema kabisa anavyofanya .....lol!!
 
Last edited by a moderator:


Aisee Babu bibi akitoa mualiko rasmi nitakuja. Asu wangu nishausikia. Old is gold BDC.
 
Last edited by a moderator:
Tena nilikuwa nimepanga kucheza nae mchezo mzuri sana
Tena mtamu kweli kweli .....lol!!

Asante sana babu
Ukimuona KOKUTONA mwambie sio vyema kabisa anavyofanya .....lol!!

Poa kaka,

Nimeshangazwa na kitu kimoja hapa MMU, naona KE wanatia juhudu kutuma salamu za V day kwa ME na ME vile vile....!!

Ndiyo kawaida yetu kwamba mie na wakubwa wenzangu Asprin, Kaizer, The Boss, Mbu. Mtambuzi hatutakiwi kutumiana salamu?

Kwamba lazima niwatumie tu akina Fixed Point, snowhite, MwanajamiiOne, gfsonwin, Kaunga, Nyamayao, Paloma na wadogo zao wengine??

Kama ni mwiko basi mie nauvunja...

Nawatumia salamu za heri na baraka wana MMU wote (wakubwa kwa wadogo bila kujali wako upande gani kibaiolojia)...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…