Valentines Day na Siku ya Majivu...

Valentines Day na Siku ya Majivu...

Naendelea kuwakumbusha tu kwamba valentine day inaangukia jumatano ya majivu..

Ukizini una kesi na Mungu wako

KUZINI mpaka PASAKA iishe.... Pambana na HALI yako
kumbe dini zenu ndo zinavosema , usizini j2, j5 ya majivu , mwezi mtukufu , usizini kipindi cha kwa resma , yan mnaogopa cku na kusahau kuwa mwili ni hekalu la roho mtakatifu kila dakika na kila cku linapaswa liwe safi, OLE WENI VIONGOZI WANAFIKI, viongoz wao hulala huota ndoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom