Valentine Niliemtegemea Kaingia Mitini!

Kwani Valentine ni lazima iwe kwa mpenzi wako tuu
Si hata wengine wana nafasi yao kwenye maisha yako kama umemkosa mpenzi wako
Nyie ndo mnaharibu maana ya valentine
 
tangu jana saa moja usiku, kila navyoruka hewani simu yake iko bize, bahada ya muda ikawa haipatikani kabisaa, nikituma sms "not sent", saa kumi usiku huu nampata hewani! Ananikatia cm! Jamani usingizi nimekosa, watu washanipiga bao!naona leo 14.02.2012 ni siku chungu kwangu.
acha utoto wewe, hujui mwanamke ni kama kandambili? Kwa taharifa yako ukivua tu wenzio tunavaa, pole karaghabao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom