Valentine day

Valentine day

Waziir Hamad

Senior Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
102
Reaction score
25
Habari ndugu mamembers.

Nahitaji kueleweshwa kuhusu zawadi za valentine,hasa kuhusu "postcards" binafsi huwa nanunua ila hujikuta nabaki kuchekwa na washikaji wangu wa karibu na huniambia kwamba ni za watoto,ambavyo ni jambo nalolipinga,sometime nazichukuaga kisiri ili zisionekane.

Naombeni ushauri kuhusu hili,ni mwanzo wa kujifunza.

Matusi sio issue.
 
Habari zenu ndugu mamembers?
Nahitaji kueleweshwa kuhusu zawadi za valentine,hasa kuhusu "postcards" binafsi huwa nanunua ila hujikuta nabaki kuchekwa na washkaji wangu wa karibu na huniambia kwamba ni za watoto,ambavyo ni jambo nalolipinga,sometime nazichukuaga kisiri ili zisionekane,naombeni ushauri kuhusu hili swala.

MATUSI SIO ISSUE.

MWANZO WA KUJIFUNZA NI SIJUI.

Ngoja Tutunge Makavu Yako Na Tutarudi Muda Si Mrefu Kwani Sasa Tupo Equatorial Guinea Kwa Muda Tukifurahia Ivory Coast Kuwa Mabingwa Wapya Wa AFCON 2015.
 
Habari zenu ndugu mamembers?
Nahitaji kueleweshwa kuhusu zawadi za valentine,hasa kuhusu "postcards" binafsi huwa nanunua ila hujikuta nabaki kuchekwa na washkaji wangu wa karibu na huniambia kwamba ni za watoto,ambavyo ni jambo nalolipinga,sometime nazichukuaga kisiri ili zisionekane,naombeni ushauri kuhusu hili swala.

MATUSI SIO ISSUE.

MWANZO WA KUJIFUNZA NI SIJUI.

afadhali yako mkuu,mi shida ninayo,waifu anataka mtoko na mchepuko nao unataka mtoko
 
Habari zenu ndugu mamembers?
Nahitaji kueleweshwa kuhusu zawadi za valentine,hasa kuhusu "postcards" binafsi huwa nanunua ila hujikuta nabaki kuchekwa na washkaji wangu wa karibu na huniambia kwamba ni za watoto,ambavyo ni jambo nalolipinga,sometime nazichukuaga kisiri ili zisionekane,naombeni ushauri kuhusu hili swala.

MATUSI SIO ISSUE.

MWANZO WA KUJIFUNZA NI SIJUI.

Dear what I believe kwa sisi wanawake huwa tunapenda sana zawadi. Kwa wale wenye upendo wa kweli kwa wapenzi wao , I dont think so if that they care about what kind of gifts wapenzi wao wawaletee, wanachojali kuwa uliwafikiria na ukaamua kuleta gift from bottom of your heart (Hii inaonyesha kuwa you care about her , haya ni mawazo yetu ya baadhi ya sisi wanawake ) . Na kwale baadhi yao ambao hawana mapenzi ya kweli (material love) offcourse huwa ni lazima wawalazimishe wapenzi wao what to buy for them (Expensive things) just kufurahisha mioyo yako na pia waonekane kwa wenzao na watu wengine kuwa yeye yuko juu kuliko wenzie au mtu mwingine yeyote ( To me I call a fake love life. kuishi kwa kuiga ). Dear as long as you heart leads you for what to buy kwa mpenzio just follow it and dont care kuhusu hao friends wanaokucheka let them laugh , just keep focus on your Lovely Lady, your happiness and personal things . Let me tell you something there is no value gift like a gift that come from your deep heart, the most important and the best gift for your love is true Love thats all she needs , other things ni kuongezea au kumwagilia ili Love isinyauke au kuchakaa . So siwezi complete to base the best gift ya wapendwa wetu in material things isipokuwa ni gift yeyote itokayo moyoni mwako . After all a true woman / man will appreciate hata gift ya shilling 500 as long as imetoka moyoni mwako , na kuhakikisha umeifurahia na wote mmeifurahia na kusherekea kwa pamoja . I hope nimejibu sawa. Naomba tuwasikilize wengine wenye uzoefu zaidi . Thanks .
 
Dear what I believe kwa sisi wanawake huwa tunapenda sana zawadi. Kwa wale wenye upendo wa kweli kwa wapenzi wao , I dont think so if that they care about what kind of gifts wapenzi wao wawaletee, wanachojali kuwa uliwafikiria na ukaamua kuleta gift from bottom of your heart (Hii inaonyesha kuwa you care about her , haya ni mawazo yetu ya baadhi ya sisi wanawake ) . Na kwale baadhi yao ambao hawana mapenzi ya kweli (material love) offcourse huwa ni lazima wawalazimishe wapenzi wao what to buy for them (Expensive things) just kufurahisha mioyo yako na pia waonekane kwa wenzao na watu wengine kuwa yeye yuko juu kuliko wenzie au mtu mwingine yeyote ( To me I call a fake love life. kuishi kwa kuiga ). Dear as long as you heart leads you for what to buy kwa mpenzio just follow it and dont care kuhusu hao friends wanaokucheka let them laugh , just keep focus on your Lovely Lady, your happiness and personal things . Let me tell you something there is no value Una Maneno Matamu!!
 
Zawadi pesa,card peleka clinic,maua pelekea nyuki.
 
Thanks alot dear,I like your wise advice,now there's no need to hear what people say,but only what I see that she deserves,it's enough,RESPECT.
 
Zawadi ni zawadi mwaya,we nunua ile unayoona inafaa.
 
Dear what I believe kwa sisi wanawake huwa tunapenda sana zawadi. Kwa wale wenye upendo wa kweli kwa wapenzi wao , I dont think so if that they care about what kind of gifts wapenzi wao wawaletee, wanachojali kuwa uliwafikiria na ukaamua kuleta gift from bottom of your heart (Hii inaonyesha kuwa you care about her , haya ni mawazo yetu ya baadhi ya sisi wanawake ) . Na kwale baadhi yao ambao hawana mapenzi ya kweli (material love) offcourse huwa ni lazima wawalazimishe wapenzi wao what to buy for them (Expensive things) just kufurahisha mioyo yako na pia waonekane kwa wenzao na watu wengine kuwa yeye yuko juu kuliko wenzie au mtu mwingine yeyote ( To me I call a fake love life. kuishi kwa kuiga ). Dear as long as you heart leads you for what to buy kwa mpenzio just follow it and dont care kuhusu hao friends wanaokucheka let them laugh , just keep focus on your Lovely Lady, your happiness and personal things . Let me tell you something there is no value gift like a gift that come from your deep heart, the most important and the best gift for your love is true Love thats all she needs , other things ni kuongezea au kumwagilia ili Love isinyauke au kuchakaa . So siwezi complete to base the best gift ya wapendwa wetu in material things isipokuwa ni gift yeyote itokayo moyoni mwako . After all a true woman / man will appreciate hata gift ya shilling 500 as long as imetoka moyoni mwako , na kuhakikisha umeifurahia na wote mmeifurahia na kusherekea kwa pamoja . I hope nimejibu sawa. Naomba tuwasikilize wengine wenye uzoefu zaidi . Thanks .

NaOMBA nikuletee zawadi ya valentine..jst tell where u ar n il deliver it ASAP.
 
Habari ndugu
mamembers.

Nahitaji kueleweshwa kuhusu zawadi za valentine,hasa kuhusu "postcards"
binafsi huwa nanunua ila hujikuta nabaki kuchekwa na washikaji wangu wa
karibu na huniambia kwamba ni za watoto,ambavyo ni jambo
nalolipinga,sometime nazichukuaga kisiri ili zisionekane.

Naombeni ushauri kuhusu hili,ni mwanzo wa kujifunza.

Matusi sio issue.

Mkuu, hakuna kitu ninacho kiheshimu kama kitu kiitwacho FEELINGS.

maskini nasikitika kuona sijawaijua nini maana ya neno valentine.

kwangu without the so called strong feeling, gifts means northing.

ivo bas haijalishi yuko wapi maana sijawai fanyiwa ivi. so ningependa siku
iyo nifanyiwe ivi,

atafte wimbo ya 50 cent "BEST FRIEND" Aniimbie kutoka moyoni. oh my G
siku iyo nitapaa. hii ndo zawadi nitaona adimu maana nyingine they a
just mormal.

..........( C.K )..........

anyway, mkuu kama unaamini kuwa feelings ni muhimu mpe chochote roho yako itapenda siku hiyo.

happy valentine to u all.
 
Habari ndugu mamembers.

Nahitaji kueleweshwa kuhusu zawadi za valentine,hasa kuhusu "postcards" binafsi huwa nanunua ila hujikuta nabaki kuchekwa na washikaji wangu wa karibu na huniambia kwamba ni za watoto,ambavyo ni jambo nalolipinga,sometime nazichukuaga kisiri ili zisionekane.

Naombeni ushauri kuhusu hili,ni mwanzo wa kujifunza.

Matusi sio issue.

Mchukue mkeo mpeleke mall mnunulie handbag ya dollar 1000 na wallet na Kama una uwezo mnunulie gari sio kicheche.
 
Yaani kumpa mkeo zawadi hadi usubiri feb 14...

Ndio maana wapata tabu sasa...
 
Weye fanya kile ambacho moyo wako unafurahia na mwenzio anakifurahia. Maneno ya wengine wote weka pembeni.

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom