Valentine day ndio mdudu gani

Valentine day ndio mdudu gani

Nikuongeza idadi ya UKIMWI tu hakuna kitu cha maana make kila siku ni sikukuu.
 
Mkuu hivyo vidonge ni kwaajili ya watu kama nyie .. Mulio changanyikiwa na taflija za kipuuzi

sie wenzio tuko happy, hatushughuliki na mambo ya watu wengine ila tu tunafurahia tukiona wengine wako happy. we are not stressed out. kale dawa kaka.

au ukiona hizo dawa za stress hazifanyi kazi tafuta vidonge flani vinaitwa valium kula vitatu mara tatu kwa siku. unywe na maji mengi na usinywe na pombe. baada ya siku tatu kama hali inaendelea hivyo hivyo njoo pale muhimbili upande wa psychiatric tukuchukue vipimo for further analysis. utanikuja mimi huenda unahitaji counselling zaidi. ulizia tu dokta jamii
 
Back
Top Bottom