Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,111
wapendwa wana CC,
NAwasalimu katika jina la UPENDO NA AMANI.
Haya valentine imepita, naomba nichukue nafasi hii kuwaomba wana cc wote waje hapa na kutoa report kwa ilivyokuwa kwao.
pili napenda kutoa post valentine wishes kwa woote, kwa walioumizwa valentine hii poleni na songeni mbele,
kwa waliojenga mahusiano yao valentine hii, kumbukeni kujenga upendo wa kweli,
kwa wale ambao valentine haikubadilisha kitu kwao jipangeni mjenge mahusiano bora.
kwa waliowakumbuka wenye shida mbali mbali MUNGU AWABARIKI