sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
TAMKO;Mimi Vaislay nimekukubali bwana@7 5 mm, uwe mume wangu lakini naomba useme kabisa mbele ya wote,hutakuwa unachepuka, Wote watakao kumendea mendea utaniambia,watakao rusha mikuki yao PM unanionyesha...
Lakini napenda kukufahamisha mume mtaraji mimi nina lichepuko langu la milele Kaizer nitahitaji muda wa kuliacha taratibu
NDUGU; Dinazarde ICHANA@khantwe naomba muanze maandalizi ya taratibu zoote Mtoto halali na hela nakutegemea sana..... Asprin nahitaji unifanyie mambo ya maujumbe namna ya kudumu ndoani
ICHANA njoo..mchana kutwa sijajua kuna nn apa
Bamkubwa Kaizer habari ndiyo hiyo
sungura1980 acha basi jamani, mi namfeel Kaizer sana tu ujue, ndo maana nikamwambia mume mtaraji mapema kwamba nahitaji muda..
Kaizer lakini ahadi yetu si unakumbuka?
kweli dadamdogo wetu alisema hivyo baada ya kuona aibu umati wooote ulikuwa ushacomment
ila baada ya kutulia kumchunguza mhusika amesema nooo
Anafahamu uwepo wangu kwa mumewe,ndo maana kawa mpole
Kaizer kuwa na amaniDADA AMESEMA...... @7 5mm nilipenda kuwa nawe lakini nimeshauriwa kwamba nimefanya haraka sana bila kufikiri, Mume umeingia jana Kijijini kwetu leo unataka ndoa, ....Mimi nimeafikiana na ndugu zangu,.....Hakuna ndoa tena
Tooop. Sredi ifungwe sasa. Hapa hakuna zaidi....masikini Spain...😱
lakini bimkubwa wajua nipo....endelea na ubusy tukusaidie majukumu..sio kwamba nimekuwa mpole, bali tupo bize sana na baby tunacheki mechi ya spain hapa
La daima kasema....Kijana wangu...mi mtu mzima...hili jambo nimeshalimaliza...hakuna sijui ndoa au harusi
Kijana wangu...mi mtu mzima...hili jambo nimeshalimaliza...hakuna sijui ndoa au harusi
kwi kwi 7.5mm sijui ana hali gani sa hizi lol
nina hali nzuri tu kwasababu sio kila ukitongoza basi unakubaliwa ujue hata kukataliwa kupo ila kinachonishangaza ni jinsi ambavyo marafiki wamelikomalia hili suala utafikir naenda kuwaoa wao
kwa hyo mm sijitambui? Lakn sio mbaya endeleen kumkatisha tamaa mwenzenu. Lakn nawashangaa mmelivalia njuga utafikir nawaoa nyie kweli jf hakuna wanawake
nina hali nzuri tu kwasababu sio kila ukitongoza basi unakubaliwa ujue hata kukataliwa kupo ila kinachonishangaza ni jinsi ambavyo marafiki wamelikomalia hili suala utafikir naenda kuwaoa wao