Najua anaweza kupuuzia ila nitamthibitishia hayo kwa vitendo
Ukisikia umbea na kuzibiana rizki ndo huku....
Weraaa weraaaaaaaaaaaaaa wenye bahati zaoooooo lara 1 njoo huku uone mambo
Haya shemeji mpya hebu weka picha tuone kama unakidhi viwango, sie tukutetee mpaka Vaislay akubalii, Kaizer umepata mume mwenza wapii shemu wangu wa ukweeee Vin Diesel