Vaislay unahtajika mrejesho


Nipe jinsia yake kwanza. Chapchap sana.
 
Last edited by a moderator:
Sura nzito kama nini koligi?
Hahaaaaaa!! Kantangazeeeeee!!!!
Akirudia Basi kiburi huyo!
 
Last edited by a moderator:
Vaislay samahan sana kwa kukuudhi naomba unisamehe pia wanajf wote naomba mniwie radhi kwa kuwaharibia mood zenu.
Sikujua kuwa yatafikia huku niliandika huu uzi kama utani tu kwasababu najua tangu mwanzo tulianza kwa utani na yeye mwenyew Vaislay aliongea kama utani kuwa namnukuu" naogopa mahusio ya kwenye mitandao ila ntakuwa mkeo hapa jf tu na sio vingne zaidi" kwa kauli yake hyo nikajua basi tutakuwa tunataniana kwa njia hyo lakin nmesikitisha kwa jinsi nilivyoshambuliwa na kutukanwa kama nmetukana mtu.
Vaislay hata kama hukutaka utani ungeniambia tu kuwa nisikutanie nisingfika huku haikuwa na haja ya kunishambulia kwa maneno ya kejeli kiivyo ndg,.......
Jambo lingne usinifananishe na watu ambao siwajui naona mmenikomalia kuwa mm ni Makomana wakat huyo mtu hata simjui na sijui ww na makomana mna kisa gani.
NI HAYO TU DADAANGU VAI NISAMEHE SANA KWA KUKUUDHI SIKUJUA KUWA YATAKUWA HAYA
 
Last edited by a moderator:
mkuu natania tu sasa naona kunawatu wanakuja juu.
Kwan wanawake hakuna mitaan mpaka nikampende mtu nisiyemjua?
Hiii niliandika kwa utani tu

teheeee.. sasa Mbona umeandika humu badala ya forum ya jokes?
 
ujue alishakueleza hakutaki afu ukakomaa sana, jifunze kutengeneza marafiki wa utani afu ujue serious issue watu hua wanakutana kwingine hapa most of them wanaitana dear or hubby just a joke lkn nadhan umejifunza au ulikua mgeni jukwaa hili

ni kweli mkuu siku zote nilikuwa nasoma tu post za watu najua kwa vile wanatumia Id feki nikajua hata wanavyitana dear basi ni utani ndo maana na mm nikaanza kumwita hvyo Vaislay kumbe skujua kuwa nalikoroga
 
Last edited by a moderator:

Mkuu usi surrender kirahasi namna hiyo. Huenda lara1 na Matola walianzia huko lakini walikuwa more discrete!
 
vipi ulidandia gari kwa mbele nini? Mbona mkyuuuti kakuaibisha mbele zetu wazeee
hahahaahaaaahaaahaahaahahaa aibu yako mwenyewe sasa

nakubali kaka aibu yangu. Nmekoma kweli
 

hahahaaa! Kukomaa kivp tena ndg
 
Last edited by a moderator:
Hii thread ifungwe...Naona pande zote mbili zimekosa; busara kwa upande mmoja na maadili kwa upande mwingine....

Hongera sana miss chaga...the real great thinker..!
 
AISEEEE!!!! duu, dada punguza ukali
 
daaah mtoa mada katiaje huruma sasa

katia huruma si kidogo yani hadi sasa namhurumia kwa alivotukanwa kama mtoto mdogo lakin pole ndo maisha anatakiwa azijue pia roles za social networks in deep
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…