Vaislay unahtajika mrejesho

Vaislay unahtajika mrejesho

Mupenzi wa mimi si nilikuambia huna sababu ya kuwa na hofu?

Hebu kamu zis way kwanza ..

Nimemis hug lako mupenzi!!

Ooohh u'r so sweet bby akee....mwaaaaaahh

Haya mambo yenu ndo maana mnawafanya wenzenu waanze kuweweseka!

Zamani hata mei nilikuwaga naona mawenge wenge aisee....

cc snowhite.....
 
Last edited by a moderator:
Sijui shule zinafunguliwa lini muende shule nyie watoto!!Wewe mvulana unayejiita @7 5mm sijui #cm ,,umetudhalilisha sisi wanaume!

Mwanaume kwanza anatambulika kwa msimamo wake,wewe kidogo tu umeyumbishwa,umekimbilia kupiga magoti!

Hujatumia busara,ungetaka utani ungeweka uzi wako huko jokes,baada ya kupewa za uso unajitia kusema,"Ni utani,ina maana wanawake wote mitaani siwaoni mpaka nitafute kwenye mitandao?Ndiyo umeyajua leo?,!Namjua Vaislay, tukimwambia aweke wazi mese zako za pm mbona utaumbuka??Kwa taarifa yako husione lara 1 kaweka uzi wake anampenda Matola au Mom Fay amemmiss laazizi wake Arovera ukadhani unaamka tu unachagua mtu wa kumuanzishia uzi,mnakubaliana hasa kama mambo yenu ni ya kuigiza!!

Umeniboa na kauli yako ya eti "Wanawake wote mitaani kwenu huwaoni hadi ukatafute Jf?"Wakati mwenzio amelalamika unavyojikoki pm unabembeleza?Kwani hao hao mitaani ni akina nani?Ndio hao hao wako JF.Kuweni na utu,umepigwa chini hamna sababu ya kuanza kutoa maneno ya kejeli kwa mwenzio,by the way wewe si ni mwanaume?Kukataliwa mbona ni jambo la kawaida tu,labda wewe kama sio lijali!
 
Last edited by a moderator:
Wewe na mleta mada akili zenu zinafanana sana kwa ukaribu iweje leo unamruka?

Siku ya kwanza alipoanzisha ule uzi ulikenua meno huku ukisema maneno haya
Leo kaanzisha tena uzi kwa mfumo uleule wa mwanzo unajifanya kukwazika, acheni unafiki nyie viumbe.!

:thumbup::thumbup::thumbup:
 
Haya mambo yenu ndo maana mnawafanya wenzenu waanze kuweweseka!

Zamani hata mei nilikuwaga naona mawenge wenge aisee....

cc snowhite.....

Hawa wavulana wana matatizo yao ...

Hivi ukiona mtu amepita barabara ya Uhuru kisha akaokota burungutu la fedha na wewe utalazimisha uokote burungutu kama la fulani barabara ile ile?
 
Hii thread ifungwe...Naona pande zote mbili zimekosa; busara kwa upande mmoja na maadili kwa upande mwingine....

Hongera sana miss chaga...the real great thinker..!

Nikweli hata kama huyu alikosea ( nami nilidhani kama yeye na mambo yanenda kifake fake, kumbe watu wako serious humu) jinsi alivyojibiwa hapana great thinkers kwa mtazomo wangu wanatakiwa kuwa na lugha ya kistaarabu!
 
Back
Top Bottom