teh teh there is no "BAD PUBLICITY" cc 7 5 mmAiseeee wewe unanini na mimi??
usitafute kik kwa jina langu tafadhali...We familia yangu unaijulia wapi?? leo hii iwe mwanzo na mwisho kuweka thread yenye jina langu....
Nilishakuambia SIKUTAKIIIII mbona unanifata fata hivyo...yaan umekaa huko na kuanza kufikiri kudanganya watu hapaaa...
USHINDWE TENA NA UKOME
Shikamoo hommie wake
ulimpa number mwenyewe acha kujishaua hapa
We 7 5 mm mbona umenyoosha mikono mapema? Hivi hujaona mwanaume unatukunwa hadi unatamani kulia,bado unakomaa tu. Umepigwa biti kidogo,unaomba mechi iishe kihivi. Nimesoma mwanzo mwisho,eti unaomba msamaha!! Kwa kosa gani? Watu wanapata mchepuko hata kwa mke wa mfalme!
Nakulavu ujue ...!!
Eeh! ona sasa mwanaume umeanza kutokwa na povu jingi.
Misamaha kibaooooo!
Punguza shobo mkuu unafikiri kulikuwa na haja gani ya kuanzisha uzi, hawa mabinti wa hapa ni vinyonga leo atakuchekea kesho anakugeukia.
Lazima uwe na mipaka yako kama mwanaume ili kujenga heshima popote pale unapokuwa.
Aibu ulioipata hapa jukwaani haitafutika.
Nirahisi sana kuivunja heshima kuliko kuirudisha, kuna wakati hakuna haja ya kujenga mazoea sana au utani hapa jukwaani. KUNAWENGINE WAPO KAZINI HAPA UTALAMBISHWA KEKUNDU.
Nini sasa what happened babygirl?(na mimi nataka uniloweshe mvua)!!
Tobaa....
7 5 mm
Kuna jukwaa linaitwa chit chat!
Na usione watu wanataniana we had a long way kuwa na ukaribu wa aina hiyo,kuna kitu humu kinaitwa circle! Usifikiri mi nakurupuka tu kumtania Dark City au Asprin sijui Eiyer ukafikir ni swala la kuikuta tu ID Leo na kesho kuanza kuiandikia thread nakupenda sijui nataka nikuoe!
Jifunze kutengeneza marafiki utapata tu wa kuwa huru Nao kuwatania!
Usivamie kila MTU!
Sawa eeeenh!
Jifunze na uelewe,kinyume na Hapo ndo haya ya kushushuliwa hivi mwisho unakuwa na sura nzito kama uji wa ulezi!
unashituka...
Tobaa....
Kumbe huwa unanitania? Nimepata amani ya kila kiungo....lol!!
Ila sijaona tatizo kubwa kiasi hicho...sometimes unataniwa na kucheka kisha mambo yanaenda!!
Kutotaniwa nayo ni laana mjue....