CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
vipi....hapo Lamadi ile Serengeti nini sijui......bado ipo....?
Ni Serengeti stop Over mamito... ipo sana ila huduma zake siku hizi zimepwaya sana!!! Ndabaka inawafunika mbayaaaaaa!!!!!!
vipi....hapo Lamadi ile Serengeti nini sijui......bado ipo....?
Ciello Ciello
ni Ndabaka mkuu na sio ndapaka... afu pia ni njia ya kuelekea mza ukitoka bunda na kabla ya kufika lamadi....
Inaonekaana we mtu ya kipande hiyo. Nipe address nikusalimie next week.
Mie niko njema...... hivi unajua kukosea jina la babu ni dhambi?Sokoro Apsrin, Habari yako bana?
nimeambiwa una mwaliko wako Bilila Lodge..... chardams kakualika.......nipitie hapa kilima fedha.....namalizia kutundika mizinga ya nyuki......
Umesamehewa.\
Samahani babu, ni uzingizi ndo ulisababisha nikosee