zakayohabeli
Member
- Aug 14, 2019
- 58
- 25
Hata iwe single au double supply haina shida ila tu iingize 12vdc na itoe 40vdc lengo langu nataka niitumie kwenye sound ya transistor mfano hio hapo juu inatumia 40v na mimi nataka niitumie kwenye betrii ya solar yaan ya 12v dcJe hiyo 40 unaitaka ikiwa single au dual?!
Single 40+v only
OR
Dual + 20v and - 20v
'dual' ndio njema, quality bora zaidi, output ya dual inakupa sound ya high NA low half wavesdouble supply
kwanini unataka ku boost wakati unaweza design ac-dc supply ya 40V moja kwa moja ?Mkuu nahitaji mchoro au anaelewa namna ya Ku boost DC to DC
Mfano 12v boost to 40vdc
Msaada tafadhal
Yea mkuu nisaidie bc namna ya kui boost 12vdc iwe 40vdc mkuu ila sound ya transistor niweze kutumia kwenye umeme wa solar yan DC 12v'dual' ndio njema, quality bora zaidi, output ya dual inakupa sound ya high NA low half waves
ya single inakupa ya high (AU low) half waves tu
Kufanya hivo mkuu lengo langu nitumie sound ya transistor kwa matumizi ya betrii ya sola ya 12v mkuu ndiomaana nataka msaada tafadhal kama una huo uchawi tugawane bc mkuukwanini unataka ku boost wakati unaweza design ac-dc supply ya 40V moja kwa moja ?
sio idea nzuri kuwa na components nyingi ambazo zingereplesiwa na component moja
sasa hapa nimekuelewa, sakiti ya boost converter zipo kibao googlekwenye umeme wa solar yan DC 12v
Yaan mpaka kuja huku google nimechek lakn kwa 70% haijakamilika michora yao mkuusasa hapa nimekuelewa, sakiti ya boost converter zipo kibao google
Yea ndiomaana imenilazimu kutumia ic kwa matumizi ya solar mkuuYaan mpaka kuja huku google nimechek lakn kwa 70% haijakamilika michora yao mkuu
Ukiangalia datasheet ya hizo IC range za voltage ni hizo.OK mkuu nimekuelewa kwahyo ni bora nikipata mteja anaetaka amplifier afu matumizi yake ni ya v12 nitumie ic mfano tda7297 au tda 7379 nk
Ila anae taka power amplifier ya transistor hio naelewe hainipi shida mkuu
Asante sana mkuu ngoja niijaribuuDC to DC boost converter circuit homemade
A boost converter (step-up converter) is a DC-to-DC power converter that steps up voltage (while stepping down current) from its input (supply) to its output (load)www.electronoobs.com
chukua sakiti ya kwanza hapo juu ambayo inatumia 555 timer
IC yake (LM 555) zipo kkoo maduka ya electronics
kwenye sakiti badili R1 (au C1 ) kupata voltage uitakayo
sjajua current rating yake ipoje ila unawezaiongeza kwa kusuka iyo inductor 100uH kwa mkono (unatumia thick enameled copper wires + ferrite rod)
Ukiangalia datasheet ya hizo IC range za voltage ni hizo.
tda7297 ((6V -18V DC )
tda 7379 ( 8 to 20V DC )