V.A.R = Video Argentina Referee; Je, VAR inaibeba Argentina?

V.A.R = Video Argentina Referee; Je, VAR inaibeba Argentina?

Misri kashindwa kukaza, Ronaldo ana influence kubwa za watu wazito wanaoforce mambo hata yasiyokua yawe.

Hili la jana kwa Argentina wala sio kubebwa ni uwezo wa timu kupambana mpaka mwisho.

Wapeni pongezi, msiwabeze.
Exactly 📌
 
Exactly 📌
Unaweza kuniambia kwanini unaipenda Argentina ila unaichukia CCM?

FB_IMG_1783003927276.jpg
 
Haya matukio Huwa yanatokea katika team zote so unataka Kila tukio la faulo refa apige filimbi !? Huo utakuwa ni mpira au kichaaa!?
Dunia nzima kutoa haya madai mpaka magwiji wakubwa , wao sio vichaa tu kulalama bila sababu
 
Au kwanini unaichukia Israel halafu unasapoti Argentina?

No wonder kwanini Messi ana vinasaba vya Israel View attachment 3624954
Unazingua Sasa !!! 😆😆 Aliye kuambia Nina wachukia waisrael nani !?

Mimi naichukia serikali ya Israel na sio wananchi wa Taifa Zima la Israel niwachukie kwani wao ndio watungaji wa sera za Taifa !?
 
Unaweza kuniambia kwanini unaipenda Argentina ila unaichukia CCM?

View attachment 3624953
😄😁😁😁😁 Wee jamaa bhana team zote duniani Kuna wakati zilishawahi kupata ushindi iwe Kwa halala Au Kwa ubatili nakutolea mfano France ulishawahi kupata ticket ya kushiriki mashindano ya fifa Kwa Henry kushinda goli la mkono ,
 
At the same time Kuna magwiji wakubwa pia wanaisifu Argentina kuwa ushindi wao ni wahalali na comeback Yao ni ya Karne

Ndio ujue maisha hayawahi kuendeshwa na mitazamo sawa ya walimwengu ni lazima tutofautiane
Haya , tuishie hapa
 
VAR pale Argentina wanapofanya faulu

View attachment 3624874


Baada ya ushindi wa Argentina dhidi ya Misri, mjadala mkubwa umeibuka duniani kuhusu matumizi ya Video Assistant Referee (VAR), huku baadhi ya watu wakidai kuwa mabingwa hao watetezi wamenufaika na maamuzi yenye utata.

Pia soma Mourinho: Mechi ya Misri na Argentina ilikuwa filamu

Hoja kubwa inayotolewa ni kufutwa kwa goli la Misri kipindi cha pili baada ya VAR kubaini kulikuwa na faulo katika hatua ya ujenzi wa shambulizi. Mashabiki wengi walihoji kwanini VAR iliingilia tukio hilo, lakini haikuonekana kuingilia tukio jingine ambalo Wamisri walidai mchezaji wao alichezewa faulo kabla ya Argentina kufunga goli la ushindi. Wengi wameeleza kuwa kulikuwa na ukosefu wa usawa katika matumizi ya VAR.

View attachment 3624886

Hasira hizo hazikuishia kwa mashabiki pekee. Kocha wa Misri, Hossam Hassan, aliwashutumu waamuzi na hata kudai kuwa kulikuwa na upendeleo kwa Argentina na Lionel Messi. Baadhi ya wachezaji wa Misri pia walieleza kuwa walihisi wameonewa na kwamba maamuzi ya VAR yalibadili matokeo ya mchezo.

Mitandaoni, maoni mengi yalidai kuwa FIFA inaonekana kutaka Messi na Argentina waendelee kwenye mashindano kutokana na mvuto wao mkubwa kwa mashabiki na biashara ya soka duniani. Kauli kama "VAR imeibeba Argentina", "Egypt were robbed", na "FIFA wants Messi to stay" zilisambaa kwa kasi kwenye majukwaa ya soka.

Wachambuzi kadhaa wa soka pia walihoji uthabiti wa matumizi ya VAR. Hoja yao haikuwa kwamba sheria zilivunjwa moja kwa moja, bali kwamba matukio yanayofanana yalitafsiriwa kwa namna tofauti ndani ya mchezo mmoja. Hali hiyo ndiyo iliyozua hisia kuwa maamuzi muhimu yalienda upande wa Argentina.
This is Fifa World Coup
 
Misri kama mwahisi wameonewa..Waombe mechi ya kirafiki baada ya Hili Kombe la Dunia.....Yote kwa yote. Misri, Asante kwa Kushiriki.
 
Unazingua Sasa !!! 😆😆 Aliye kuambia Nina wachukia waisrael nani !?

Mimi naichukia serikali ya Israel na sio wananchi wa Taifa Zima la Israel niwachukie kwani wao ndio watungaji wa sera za Taifa !?
"Sili dagaa ila napenda tu mchuzi wake"
images~2.jpeg
 
😄😁😁😁😁 Wee jamaa bhana team zote duniani Kuna wakati zilishawahi kupata ushindi iwe Kwa halala Au Kwa ubatili nakutolea mfano France ulishawahi kupata ticket ya kushiriki mashindano ya fifa Kwa Henry kushinda goli la mkono ,
Hata Chadema kuna wakati inapata favor, lakini kwanini CCM iwe mjadala zaidi?
 
Tofautisheni mtu kigongesha mguuwake uonekane umekanyagwa na kukanyaga mguu wa mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom