hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,346
- 80,216
😂Goti wenu na Messiah wote wamelia kwenye fainali hizi za kombe la dunia.
Tofauti ni moja tu Penaldo alilia kwa uchungu wakati Messiah analia kwa furaha.View attachment 3624893
😂Goti wenu na Messiah wote wamelia kwenye fainali hizi za kombe la dunia.
Tofauti ni moja tu Penaldo alilia kwa uchungu wakati Messiah analia kwa furaha.View attachment 3624893
Exactly 📌Misri kashindwa kukaza, Ronaldo ana influence kubwa za watu wazito wanaoforce mambo hata yasiyokua yawe.
Hili la jana kwa Argentina wala sio kubebwa ni uwezo wa timu kupambana mpaka mwisho.
Wapeni pongezi, msiwabeze.
Haya matukio Huwa yanatokea katika team zote so unataka Kila tukio la faulo refa apige filimbi !? Huo utakuwa ni mpira au kichaaa!?Jamaa kaucheza mguu badala ya mpira , kama unapisha hawapendelewi hiki ni nini 👇View attachment 3624894
Unaweza kuniambia kwanini unaipenda Argentina ila unaichukia CCM?Exactly 📌
Au kwanini unaichukia Israel halafu unasapoti Argentina?Exactly 📌
Dunia nzima kutoa haya madai mpaka magwiji wakubwa , wao sio vichaa tu kulalama bila sababuHaya matukio Huwa yanatokea katika team zote so unataka Kila tukio la faulo refa apige filimbi !? Huo utakuwa ni mpira au kichaaa!?
Unazingua Sasa !!! 😆😆 Aliye kuambia Nina wachukia waisrael nani !?Au kwanini unaichukia Israel halafu unasapoti Argentina?
No wonder kwanini Messi ana vinasaba vya Israel View attachment 3624954
😄😁😁😁😁 Wee jamaa bhana team zote duniani Kuna wakati zilishawahi kupata ushindi iwe Kwa halala Au Kwa ubatili nakutolea mfano France ulishawahi kupata ticket ya kushiriki mashindano ya fifa Kwa Henry kushinda goli la mkono ,
😁Mashabiki wa Ronaldo mnateseka sana 😂😂
At the same time Kuna magwiji wakubwa pia wanaisifu Argentina kuwa ushindi wao ni wahalali na comeback Yao ni ya KarneDunia nzima kutoa haya madai mpaka magwiji wakubwa , wao sio vichaa tu kulalama bila sababu
Haya , tuishie hapaAt the same time Kuna magwiji wakubwa pia wanaisifu Argentina kuwa ushindi wao ni wahalali na comeback Yao ni ya Karne
Ndio ujue maisha hayawahi kuendeshwa na mitazamo sawa ya walimwengu ni lazima tutofautiane
This is Fifa World CoupVAR pale Argentina wanapofanya faulu
View attachment 3624874
Baada ya ushindi wa Argentina dhidi ya Misri, mjadala mkubwa umeibuka duniani kuhusu matumizi ya Video Assistant Referee (VAR), huku baadhi ya watu wakidai kuwa mabingwa hao watetezi wamenufaika na maamuzi yenye utata.
Pia soma Mourinho: Mechi ya Misri na Argentina ilikuwa filamu
Hoja kubwa inayotolewa ni kufutwa kwa goli la Misri kipindi cha pili baada ya VAR kubaini kulikuwa na faulo katika hatua ya ujenzi wa shambulizi. Mashabiki wengi walihoji kwanini VAR iliingilia tukio hilo, lakini haikuonekana kuingilia tukio jingine ambalo Wamisri walidai mchezaji wao alichezewa faulo kabla ya Argentina kufunga goli la ushindi. Wengi wameeleza kuwa kulikuwa na ukosefu wa usawa katika matumizi ya VAR.
View attachment 3624886
Hasira hizo hazikuishia kwa mashabiki pekee. Kocha wa Misri, Hossam Hassan, aliwashutumu waamuzi na hata kudai kuwa kulikuwa na upendeleo kwa Argentina na Lionel Messi. Baadhi ya wachezaji wa Misri pia walieleza kuwa walihisi wameonewa na kwamba maamuzi ya VAR yalibadili matokeo ya mchezo.
Mitandaoni, maoni mengi yalidai kuwa FIFA inaonekana kutaka Messi na Argentina waendelee kwenye mashindano kutokana na mvuto wao mkubwa kwa mashabiki na biashara ya soka duniani. Kauli kama "VAR imeibeba Argentina", "Egypt were robbed", na "FIFA wants Messi to stay" zilisambaa kwa kasi kwenye majukwaa ya soka.
Wachambuzi kadhaa wa soka pia walihoji uthabiti wa matumizi ya VAR. Hoja yao haikuwa kwamba sheria zilivunjwa moja kwa moja, bali kwamba matukio yanayofanana yalitafsiriwa kwa namna tofauti ndani ya mchezo mmoja. Hali hiyo ndiyo iliyozua hisia kuwa maamuzi muhimu yalienda upande wa Argentina.
"Sili dagaa ila napenda tu mchuzi wake"Unazingua Sasa !!! 😆😆 Aliye kuambia Nina wachukia waisrael nani !?
Mimi naichukia serikali ya Israel na sio wananchi wa Taifa Zima la Israel niwachukie kwani wao ndio watungaji wa sera za Taifa !?
Hata Chadema kuna wakati inapata favor, lakini kwanini CCM iwe mjadala zaidi?😄😁😁😁😁 Wee jamaa bhana team zote duniani Kuna wakati zilishawahi kupata ushindi iwe Kwa halala Au Kwa ubatili nakutolea mfano France ulishawahi kupata ticket ya kushiriki mashindano ya fifa Kwa Henry kushinda goli la mkono ,