The List
JF-Expert Member
- Mar 25, 2017
- 1,728
- 4,899
- Thread starter
- #61
Nikuullz kujaribu na kufanya hapo unaoona pana tafautti gani???kujaribuu nj kufanyya mojakwamojaNashukuru sana ndugu.
Kuna jambo nimeliona katika uchangiaji wa watu wengi kwenye hii nyuzi, swala la "KUJARIBU" kwa namna ninavyoelewa na siku zote ambazo nimekuwa nikiishi tangu kupevuka kwangu kiakili, siamini katika jambo linaitwa KUJARIBU.
Siku zote ninaamini katika KUFANYA na sio kujaribu. Mara zote huwa ninasema "Mafanikio ni kwa wale tu WANAOTHUBUTU NA KUFANYA na sio WANAOTHUBUTU NA KUJARIBU". Siku zote hiyo ndiyo kauli mbiu yangu