Uzushi/upotoshaji kuhusu ujasiriamali

Umenena vyema mkuu!

"if you are not stubborn, you'll give up on experiments too soon.. And if you are not flexible, you'll pound your head against the wall and you wont see a different solution to a problem you are trying to solve.." J. Bezos
 
Ulilolizungumza ndugu linahitaji akili ya ziada sana kulielewa. Ni kweli kabisa katika UJASILIAMALI wengi wanapotoshwa sijui wanapotoka wao wenyewe! Kwa kudhani ukianza kufanya ty basi utapata wateja na mihela kumiminika.

Binafsi huu natimiza mwaka sasa na miezi mitano tangu nianze biashara ya Laundry, inanipa pesa kiasi muda mwingine huwa nakosa hata pesa ya nauli kwenda ofisini kwangu, ila ninakomaa nipate nauli tu bila kujali nitakula nini kwa siku hiyo. Mimi nimeiwazia nje kabisa ya box kwamba siku moja nitaweza kuichukua jamii nzima na kuifanyia kazi, kufua kwa kutumia mashine isiwe dhana ya wenye pesa tu, bali kiwe ni kitu ambacho kila mtu atakimudu.

Nina mpango wa kuja kufungua Laundry Complex kwa miaka ya baadae, mzee wangu mara kadhaa ananiambia niachane na hii kazi nikaajiriwe, huwa nampinga kuajiriwa kwa hoja mpaka ananielewa na siku zote naamuamini Mungu, atanifungulia njia ipasavyo niyafikie malengo yangu.

Pesa Tanzania iko jaman, ukitaka kuishirikisha akili yako vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko wapi, na unataka vijana wangapi,jinsia gani,na unakadiria kuwalipa shilingi ngapi,kwa siku, wiki,kwa mwezi au kwa msimu?

Na una sehemu ya kuwalaza,na chakula utawapa au watajitegemea?
Oya ndugu yaang nw mm nahitaji vijana wawili.napata?
 
Mkuu acha ku "impose fear of failure" kwenye vichwa vya watu by then failure ni njia nzuri ya kujifunza.
Nani asiejua mafanikio unahitaji uvumilivu, ku fail sio mwisho mpaka umshauri mtu arudi au abaki kwenye ajira( prison of mind).
The best way, ungewambia watu wa engage kwenye ujasiriamali lakini wambie unahitaji passion & burning desire ili ku cope na changamoto.
Unaposema ujasiriamali ni kipaji una maanisha nini?, ata hao waliofanikiwa mbona wali fail mara kibao, je kipaji kilikua kimepotea?
Watu msiogope kujaribu, ujasiriamali hauko kwenye DNA ya mtu, kinachoitajika ni elimu tu, uwe mtu wa kujifunza mara kwa mara, utafeli mara kibao na mara nyingi utajiskia kuacha lakini usiache, "failure is the best way of learning".
Kitu kibaya kuhusu kuajiriwa ni kua mind imprisoned, ukishakua mfungwa wa fikra utashindwa ku invent your potentials, kitu kitakacho kufanya uwe mtu wa kawaida na mtumwa maishani mwako pote.
Jaribuni msiiogope ku feli, failure is the best way of learning, kama ulikua unafanya kazi masaa matano ukifeli, utagundua kua kumbe inatakiwa ufanye kazi masaa kumi, day after day, failure after failure utajikuta una improve na mwisho unaachive unachotaka japo inachukua mda.
 
Nakubaliana na wewe ila kuhusu Amazon napingana na wewe kwa asilimia 100
 
Wasalaam wakuu,

Ujasiriamali kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa ni jambo linalohubiriwa sana. Watu wa kada mbalimbali wamelisemea kama jambo la kher, na matokeo yake mwitikio kutoka kwa watu mbalimbali umeonekana kwa kuthubutu, kubuni na kuanzisha miradi kwa lengo la kujiajiri. Sio hivyo tu hata baadhi ya waajiriwa wamethubutu kuacha kazi na kujiingiza ktk ujasiriamali.

Uanzishwaji wa shule, makongamano, maonyesho, mashindano na pia kuibuka kwa wahasimashaji wa masuala ya wajasiriamali ni kiashirio cha umaarufu wa dhana hii.

Shuhuda za watu mbalimbali waliopata mafanikio kwa uthubutu wao ktk ujasiriamali imekuwa pia kichocheo kikubwa cha watu wengi kujiingiza ktk ujasiriamali.

Pamoja na mafanikio hayo, upande wa pili kuna kundi kubwa la watu linalolaani ujasiriamali. Kundi hili ni la watu 'waliotendwa' na ujasiriamali.

Na kwa ukweli usiopingika kundi hili ni kubwa kuliko la wale waliofanikiwa. Wengine ni walioacha kazi za kuajiriwa na kwa sasa wanatamani tena kurudi uko, wengine ni wanafunzi walioacha vyuo na kufikri wao pia wanaweza kuwa the next Zuckerback, Bill Gates marehem Steve Jobs na wengineo.

Kundi hili kubwa linalolaani kuhusu ujasiriamali ni kundi liliochagua ujasiriamali aidha kwa kupotoshwa au kuwa na mategemeo makubwa kuliko uhalisia.

Huu binafsi nauiita upotoshaji/uzushi amabao watu wengi humezeshwa kuhusu ujasiriamali na wakiingia uko na kukuta matokeo tofauti basi hubaki ktk simanzi.

Apa nitakupata THE LIST ya uzushi/upotoshaji kuhusu ujasiriamali ambao watu wengi huwaacha ktk simanzi.

Mosi, utajiri/pesa, nafikiri hii inaweza kuwa sababu kubwa. Watu wengi huingia kwenye ujasiriamali kwa mahesab au makadirio makubwa. Mtu anapiga hesab nikiweza kulima tikiti kwa miez mitatu ni milionea au nikiwa na laki5 nikifuga kuku ndani ya miez 6 nitakuwa multimillionair. Ujasiriamali una hela, tena nzuri lakini kama kipaumbele chako ni pesa tu nafikir unahitaj kufikir marambili. Facebook ilikaa miaka 7 kabla haijaanza kuleta faida, yaani kwa miaka saba hao jamaa pesa ilikuwa inawatoka bila return yoyote. Na kama ulikuwa hujui Kampuni ya Amazon mpaka leo haijaweza kuleta r'eal revenue' zaid ya 'operating cost.'

Uhuru. Mwanadamu ni kiumbe anaependa uhuru na huwa mnyonge pale anapoukosa. Iwe ni kwenye maisha ya binafsi au ya kuajiriwa mwanadamu hupenda kuwa huru. Watu wengi huhisi kubanwa na waajiri wao na hivyo kuwanyima uhuru na hivyo huamua ku'opt' ujasiriamali kwa imani watakuwa huru. Iko hivi kama unaona kufanya kazi masaa 8 au 9 unabanwa basi tambua hufai kuwa mjasiriamali. Kwa takwimu tu 'an average entrepreneur hufanya kazi kwa zaidi ya masaa 16-18 kwa siku'.

Umaarufu, hii pia ni kichocheo kikubwa cha watu kuchagua ujasiriamali. Ukweli usiopingika ni kwamba sote tunawafahamu watu kama Tai lopez, Vusi Thembekwayo, Ellon Musk n.k kwa mafanikio yao ktk ujasiriamali. Ni sababu nzuri lakini unahitaji uwe na sabab kubwa zaid kuliko umaarufu tu, Warren Buffet ilimchukua miaka zaid 15 kuwa recognised kama ceedible investor.

Kumbuka kati ya biashara 10 zinazoanzishwa kila mwaka ni 3 tu hufika mwaka wa tatu. Na pia kwa biashara zaid ya 100 zinazoanzishwa kila mwaka ni asilimia moja tu ya biashara hizo humaliza mwaka.

Unahitaji kuwa na sababu/motive nzito za kuchagua ujasiriamali zaid ya hizo tajwa apo juu kama unataka kuwa mjasiriamali mwenye mafanikio endelevu, zaidi ya hapo baki shule au kwenye kibarua chako.
Mkuu wewe ni moja ktika watu pessimistic niliowahi ona duniani, focus ni ku fail tu na kweli hautafanikiwa.
Your fear of failure > your inner driving force.

Nakuomba usi implant hiyo spirit kwa vijana wa sasa wanaohitaji mageuzi.
Nimeandika haya baada ya kusoma paragraph yako ya pili kutoka mwisho.
 
Mkuu acha ku "impose fear of failure" kwenye vichwa vya watu by then failure ni njia nzuri ya kujifunza.
Nani asiejua mafanikio unahitaji uvumilivu, ku fail sio mwisho mpaka umshauri mtu arudi au abaki kwenye ajira( prison of mind).
The best way, ungewambia watu wa engage kwenye ujasiriamali lakini wambie unahitaji passion & burning desire ili ku cope na changamoto.

Watu msiogope kujaribu, ujasiriamali hauko kwenye DNA ya mtu, kinachoitajika ni elimu tu, uwe mtu wa kujifunza mara kwa mara, utafeli mara kibao na mara nyingi utajiskia kuacha lakini usiache, "failure is the best way of learning".
Kitu kibaya kuhusu kuajiriwa ni kua mind imprisoned, ukishakua mfungwa wa fikra utashindwa ku invent your potentials, kitu kitakacho kufanya uwe mtu wa kawaida na mtumwa maishani mwako pote.
Jaribuni msiiogope ku feli, failure is the best way of learning, kama ulikua unafanya kazi masaa matano ukifeli, utagundua kua kumbe inatakiwa ufanye kazi masaa kumi, day after day, failure after failure utajikuta una improve na mwisho unaachive unachotaka japo inachukua mda.

Zimboland Mogul my Chief, nimeshindwa kabisa kupata logic ya hoja yako. Na ninachelea kusema umekuwa na haraka ya kunijibu/kunipinga , hili nalisema sabab post yako ya pili inaonesha pasi na shaka hukusoma mpaka mwisho.

Pili hoja yako imekuwa upande wa inductive argument, yaani unajaribu kuotea kipi nilikuwa naamisha.

My Chief, hakuna sehemu katika andiko langu nimeandika ujasiriamali ni KIPAJI, pia andiko hili
It was purely based kwenye uzushi/upotoshawaji unaohusishwa na dhana ya ujasiriamali.

Na sio asili ya ujasiriamali.
 
Mkuu wewe ni moja ktika watu pessimistic niliowahi ona duniani, focus ni ku fail tu na kweli hautafanikiwa.
Your fear of failure > your inner driving force.

Nakuomba usi implant hiyo spirit kwa vijana wa sasa wanaohitaji mageuzi.
Nimeandika haya baada ya kusoma paragraph yako ya pili kutoka mwisho.

Post yako hii ya pili, ni ushahidi kuwa mwanzo ulipo post hukusoma mpaka mwisho and due to that hoja yako ni inductive argument.

Maana ata uliposoma mpaka mwisho bado umeshindwa kunielewa na umeendelea kuotea nini nilikuwa naamanisha.

Umeniita pessimistic, for an entrepreneur is good sabab inakupa tafsir ya uhalisia jinsi ulivyo na kukuandaa kujua hilo likitokea lakutokea utalikabiri vipi.

Na sio kumezeshwa vitu visivyokuwepo, Jack Ma mara nyingi amejisema kama pessimistic , the same to Richard Branson THE LIST is long
 
TAECO congarats Chief,

I took time off kuona unachofanya, ts amaizing!! Nikuambie tu kitu UMESHAPENYA ASEE

Kuna kitu Mentor wng hupenda kusema kama ukiweza ku transform idea into reality hata kama isipoweza kuingiza pesa basi kwa mjasiriamali ni ushindi

Tafsir ya msemo huu ni kwamba jiulize watu wangapi miaka nenda rudi kila siku wao ni idea tu ukiuliza umefikia wapi, jibu ni bado!!

'Everybody preaches ideas what an entrepreneur does is transform the idea into reality and preach opportunity'

You are on the right truck, wala usiwe na pupa keep doing wat yo doing, cha msingi unachotakiwa kufanya ni kufanya biashara yako i 'survive', absorb more network as you can and eventually money will follow you

Soma sana vitabu hasa vinavyohusu masuala ya uwezeshaji, soma vitabu vya online marketing and building networks, i tell u tatoboa tu

Ulichonacho ambacho ni siraha nayoiona kwako ni uvumilivu na subiri, yo men patiance is power.

Nimekupa mifano ya Facebook iliyokaa miaka 7 bila faida, soma historia ya Henry Ford, Marc Cuban, Disney land, THE LIST is long

Nonetheless, nimekupa mfano wa Kampuni ya Amazon, watu wasichojua pamoja na umaarufu wa kampuni hii Jeff Bezos ameweza kupata hela ya kucover running cost tu kwa miaka yote iyo.

Hongera sana mkuu.
Akhsante sana mkuu, nimefarijika sana kwa compliments toka kwako... Tunapambana hakika tukiwa na clear vision ya siku za usoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijajua ulitaka kumaanisha nini apo Xav bero, lakini kama ulimaanisha umewekeza 8000 na ikarudisha ROI nzuri na ya kueleweka huo ni uthubutu mzuri. Lakini nafikiri tunahitaji kuutizama ujasiriamali zaidi ya kuwa chanzo cha ridhiki, vinginevyo kama pesa ikikata utauona ujasiriamali ni uzushi.
Nitakujibu vizur zaid tukijua kutofautisha mjasitiamali na mfanya biashara
 
Hahaha..nafikiri picha huzungumza zaid ya maandishi

Ntakuonyesha utofauti kwa picha apa, definition utatunga mwenyew kwa utakavoelewa
 
Attachments

  • Screenshot_2017-05-24-22-47-02-1.png
    Screenshot_2017-05-24-22-47-02-1.png
    105.5 KB · Views: 20
Mkuu acha ku "impose fear of failure" kwenye vichwa vya watu by then failure ni njia nzuri ya kujifunza.
Nani asiejua mafanikio unahitaji uvumilivu, ku fail sio mwisho mpaka umshauri mtu arudi au abaki kwenye ajira( prison of mind).
The best way, ungewambia watu wa engage kwenye ujasiriamali lakini wambie unahitaji passion & burning desire ili ku cope na changamoto.
Unaposema ujasiriamali ni kipaji una maanisha nini?, ata hao waliofanikiwa mbona wali fail mara kibao, je kipaji kilikua kimepotea?
Watu msiogope kujaribu, ujasiriamali hauko kwenye DNA ya mtu, kinachoitajika ni elimu tu, uwe mtu wa kujifunza mara kwa mara, utafeli mara kibao na mara nyingi utajiskia kuacha lakini usiache, "failure is the best way of learning".
Kitu kibaya kuhusu kuajiriwa ni kua mind imprisoned, ukishakua mfungwa wa fikra utashindwa ku invent your potentials, kitu kitakacho kufanya uwe mtu wa kawaida na mtumwa maishani mwako pote.
Jaribuni msiiogope ku feli, failure is the best way of learning, kama ulikua unafanya kazi masaa matano ukifeli, utagundua kua kumbe inatakiwa ufanye kazi masaa kumi, day after day, failure after failure utajikuta una improve na mwisho unaachive unachotaka japo inachukua mda.
Watu muhim sana nyinyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulilolizungumza ndugu linahitaji akili ya ziada sana kulielewa. Ni kweli kabisa katika UJASILIAMALI wengi wanapotoshwa sijui wanapotoka wao wenyewe! Kwa kudhani ukianza kufanya ty basi utapata wateja na mihela kumiminika.

Binafsi huu natimiza mwaka sasa na miezi mitano tangu nianze biashara ya Laundry, inanipa pesa kiasi muda mwingine huwa nakosa hata pesa ya nauli kwenda ofisini kwangu, ila ninakomaa nipate nauli tu bila kujali nitakula nini kwa siku hiyo. Mimi nimeiwazia nje kabisa ya box kwamba siku moja nitaweza kuichukua jamii nzima na kuifanyia kazi, kufua kwa kutumia mashine isiwe dhana ya wenye pesa tu, bali kiwe ni kitu ambacho kila mtu atakimudu.

Nina mpango wa kuja kufungua Laundry Complex kwa miaka ya baadae, mzee wangu mara kadhaa ananiambia niachane na hii kazi nikaajiriwe, huwa nampinga kuajiriwa kwa hoja mpaka ananielewa na siku zote naamuamini Mungu, atanifungulia njia ipasavyo niyafikie malengo yangu.

Pesa Tanzania iko jaman, ukitaka kuishirikisha akili yako vyema

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu Nsanzu nashukur kwa kunielewa, hakika ww ni kati ya watu wachache walionielewa nilichokimaanisha ktk andiko hili.

Infact sio mvivu wa kusoma na uko open minded, tofauti na baadh ya comment nilizoona humu. You took time to digest nilichoandika na ukaona nilichomaanisha.

Ni sifa za muhimu sana kwa mjasiriamali/mfanyabiashara, lazima uwe open minded, tayari kujifunza jambo jipya and patient

Kuhusu project yako, ni wazo zuri sana tena sana infact ni progressing investment. Nikuambie tu tunakoelekea watu wanataka vitu vipya na watu wanazidi kuwa wavivu na wengine wanazidi kuwa busy na shughul mbalimbali

Hali hii inataka watu wapate wasaidizi, nani alifikiri biashara za salon zinazofanya scrub na massage zingekuwa hotcake, biashara ya za takeaway, n.k

Biashara hizo na zinazofanana na hizo zilionekana kimeo mwanzo lakini ndio Zimekuwa topic sasa.

Hivyo hata wazo lako la Laundry induetime litatoboa na hasa umelenga jamii ya chini, thats superb!!

Kikubwa angalia utakavyoweza kuisogeza huduma ako kwa watu hao, kuna mbinu utahitaji kujifunza za newbie penetration into market, na sabab si mvivu wa kusoma naamini unaweza kujielimsha mwenyew

Bei ya huduma yako itabidi uitizame sana
na kwa sababu umelenga watu wa hali ya chini, lazima bei yako iendane na mifuko yao.

Apo itabidi upambane na ufanye tafiti za namna ya kupunguza gharama za uzalishaji ili iwe na bei itakayowashawish.

Sifa za kufanikiwa unazo Chief, zaidi tu i wish u succes

Nashukuru sana ndugu.

Kuna jambo nimeliona katika uchangiaji wa watu wengi kwenye hii nyuzi, swala la "KUJARIBU" kwa namna ninavyoelewa na siku zote ambazo nimekuwa nikiishi tangu kupevuka kwangu kiakili, siamini katika jambo linaitwa KUJARIBU.

Siku zote ninaamini katika KUFANYA na sio kujaribu. Mara zote huwa ninasema "Mafanikio ni kwa wale tu WANAOTHUBUTU NA KUFANYA na sio WANAOTHUBUTU NA KUJARIBU". Siku zote hiyo ndiyo kauli mbiu yangu
 
Back
Top Bottom