Uzushi mwingine kumhusu Ibrahim Traore!

Uzushi mwingine kumhusu Ibrahim Traore!

Hiyo mission uliyojipa itakupa ugonjwa wa sukari, shinikizo la juu la damu na msongo wa mawazo tu. Huwezi waambia kitu waafrika juu ya Traore wakakusikiliza.
Siwezi kupata hayo magonjwa kisa Waafrika.
 
Viongozi wa kijeshi huongoza majeshi makambini huko.

Sifa za uongo uongo tu.

Dumb Africans.
Mbona kama sikuelewi elewi. Sijamfatilia saana Traore ila speech yake mbele ya putin kwenye sherehe za ushindi day nchin Urusi ilinifanya nikawa excited over him.
Lakini naona unasema mshamba, sijui migwanda ya jeshi kwani kazingua wapi labda pengine unamfuatilia.

Lakin wewe hata sikufahamu yani ukifa zako umekufa tu unaacha fizi kwenu huko unasema mtu ambae akifa anaacha pengo kwamba nimshamba au marelia yamekupanda
 
Mbona hujauliza kwanini wale maafande wanaoonekanaga taifa siku za maonesho ya kijeshi Huwa wanavaa Hadi Yale ya magotini na kwenye viwiko?

Matumiz ya lugha za kejeli pia inaonesha kuwa wewe unachuki binafsi nyingi juu ya Traole kuliko kutaka kujua reasons behind style yake ya maisha, Jambo ambalo linanifkirisha sana kwani Kwa sasa ninaamini Afrika hakuna raisi wa maana kuliko Traole. Lakini pia ukitaka kujua kwanini anatembea na silaha hiyo uliyoiita ya maji nenda kafuatilie nature ya upatikanaji wa uongozi Nchini Burkina Faso na usaliti uliopo katika mapinduzi ya kijeshi. Natamani Hayati JPM angemkuta huyu Traole naimani Kwa nature yao ya uongozi wangefika mbali sana na wangekuwa marafiki wa karibu.

Najua mtoa Uzi unapenda viongozi kama mama, haya MITANO TENA ufurahi
Mkuu hii mitandao itawaletea vijana wengi msongo wa mawazo
 
Ukiona mtu anazushiwa sifa lede kede basi ujue huyo mtu ni mweupe kichwani.

Sasa inadaiwa eti Ibrahim Traore kamuandikia barua Papa Leo.

Inadaiwa ni barua ambayo hakuna kiongozi mwingine wa Kiafrika ambaye amewahi kuthubutu kuandika maneno ambayo dikteta uchwara aliandika 🤣.

Huamini ninachosema? Fungua video hapo chini uone.

“IBRAHIM TRAORÉ sends SHOCKING MESSAGE to the new POPE LEO XIV… and LEAVES EVERYONE SPEECHLESS… The young president of Burkina Faso, Ibrahim Traoré, shocked the world by sending a historic letter to the new Pope Leo XIV after the death of Pope Francis. With bold words and painful truths, he confronted the Church over the Vatican’s wealth while Africa suffers in misery.”

View: https://youtu.be/NHfiPk3Bvt0?si=o3L1EmNtZsh9WBA_

Je, ukweli ni upi? Ukweli ni kwamba huo ni uzushi tu unaolenga kumpamba huyo dogo.

WaTanzania kwa kawaida yao hawampendi mtu mwenye mafanikio: ya elimu, uchumi nk. Ni watu wenye wivu kupita kiasi. Wana chuki kuwa mbona wao hawako hivyo? Halafu wanataka tu bila ya kujitaabisha!
Ukisoma post juu ya Wakenya ni hivi hivi. Kuna kitu 'very wrong psychologically' juu yetu.
Kama watu wanamsifia sifa za uwongo, yeye ana kosa gani au anahusika vipi na hilo? Watu kawaida wanampenda mtu anayefanya mabadiliko, anayefanikisha. Kweli, wengine watampuliza zaidi ya anavyostahiki.....
Hata nimesoma AES wana mpango wa kuanzisha Redio na Televisheni hasa kwa sababu za kupambana na uongo huu.
Wewe umetoka na natija kuwa mtu anayesifiwa sana labuda awe hana akili!
 
Ukiona mtu anazushiwa sifa lede kede basi ujue huyo mtu ni mweupe kichwani.

Sasa inadaiwa eti Ibrahim Traore kamuandikia barua Papa Leo.

Inadaiwa ni barua ambayo hakuna kiongozi mwingine wa Kiafrika ambaye amewahi kuthubutu kuandika maneno ambayo dikteta uchwara aliandika 🤣.

Huamini ninachosema? Fungua video hapo chini uone.

“IBRAHIM TRAORÉ sends SHOCKING MESSAGE to the new POPE LEO XIV… and LEAVES EVERYONE SPEECHLESS… The young president of Burkina Faso, Ibrahim Traoré, shocked the world by sending a historic letter to the new Pope Leo XIV after the death of Pope Francis. With bold words and painful truths, he confronted the Church over the Vatican’s wealth while Africa suffers in misery.”

View: https://youtu.be/NHfiPk3Bvt0?si=o3L1EmNtZsh9WBA_

Je, ukweli ni upi? Ukweli ni kwamba huo ni uzushi tu unaolenga kumpamba huyo dogo.

Mleta Mada naomba kufahamu athari au matatizo yoyote unayoyapata kutoka kwa mwamba Traore maana anachokifanya ni kwa manufaa ya watu wake ...Dikteta Una ushahidi?Tusitumie nguvu nyiingi kupambana na Watu wasiotusaidia wakati tuna matatizo kama Yao hapa kwetu chungu mzimah na tupo kimyah tu
 
Ukiona mtu anazushiwa sifa lede kede basi ujue huyo mtu ni mweupe kichwani.

Sasa inadaiwa eti Ibrahim Traore kamuandikia barua Papa Leo.

Inadaiwa ni barua ambayo hakuna kiongozi mwingine wa Kiafrika ambaye amewahi kuthubutu kuandika maneno ambayo dikteta uchwara aliandika 🤣.

Huamini ninachosema? Fungua video hapo chini uone.

“IBRAHIM TRAORÉ sends SHOCKING MESSAGE to the new POPE LEO XIV… and LEAVES EVERYONE SPEECHLESS… The young president of Burkina Faso, Ibrahim Traoré, shocked the world by sending a historic letter to the new Pope Leo XIV after the death of Pope Francis. With bold words and painful truths, he confronted the Church over the Vatican’s wealth while Africa suffers in misery.”

View: https://youtu.be/NHfiPk3Bvt0?si=o3L1EmNtZsh9WBA_

Je, ukweli ni upi? Ukweli ni kwamba huo ni uzushi tu unaolenga kumpamba huyo dogo.

Wewe na Traore ni wale wale tu tofauti kubwa ni kwamba wewe unaisha Marekani na yeye Anaishi BukinaBe.

Nikawaida ya watu wenye uduni wa fikra kufikria kuwa wao ndio wapo sahihi mara zote.
Na fikra za namna hii na ndio ushamba na Ulimbukeni wenyewe! Ndugu yangu hayo maisha unayoishi U S ni kama karanga za kuonjeshwa tu. Udenda wote huo wa nini kwa karanga za kuonjeshwa?
 
Kwasasa hamna Raisi smart kama Ibrahim Traore. Sisi watu weusi tunaamini sana akisema mzungu. Hiyo ni akili ya kiutumwa.
 
Mngejua hata bi mkubwa wa kisiwa cha Tunguu ana tamani masafa kama haya
 
Naam.

Mara nyingi mapinduzi ya kijeshi huwa ni vicious cycle.

Aliyeingia madarakani kwa kumpindua aliyeko madarakani naye huishia kupinduliwa kama siyo kuuliwa kabisa.

Muda wa huyo mshamba unahesabika.
Na muda wa MU7 sio unakaribia tu bali unapitiliza.
1986 to 2025 si mchezo.
 
Back
Top Bottom