Uzushi mwingine kumhusu Ibrahim Traore!

Mkuu naanza kuwa na mashaka sana na level yako ya uelewa, unatumia nguvu nyingi sana kutuaminisha haupo sawa
Mimi ambaye na debunk narratives za uongo kuhusu Traore na nyie ambao mnaamini uongo kumhusu yeye, nani mwenye uelewa finyu?

Wewe una hata intelligence ya kuweza kubaini videos zilizotengenezwa kwa AI?
 
Mimi ambaye na debunk narratives za uongo kuhusu Traore na nyie ambao mnaamini uongo kumhusu yeye, nani mwenye uelewa finyu?

Wewe una hata intelligence ya kuweza kubaini videos zilizotengenezwa kwa AI?
Ungekua muonaji ungeanza kuona hapahapa bongo mkuu, kwann kila anayeonesha uwezo ndo anakosolewa Africa? Traole kafanya miradi kibao ila ww umeona kuwa huwa anapenda kuvaa gloves! Sasa hyo intelligence inayoona mambo yasiyonamaana c bora ungeitumia kufanya total review ya uongoz wake ili uje utupe SWOT Analysis ya uongoz wa Traole.

Naimani utashndwa kwasababu weakness zake utasema anapenda kuvaa gloves, mbona hapa bongo yupo mvaa kilemba 24/7 na hauhoji mkuu?
 
Pointless.
 
Braza na wewe kuwa Mjanja ulete maendeleo kwenye Mtaa wako tu.
Ukute hata familia inakushinda lakini upo apa ku Disvalue wengine
 
Yaani Magu awe na urafiki na Traore, unaota wewe.

Wakati na yeye alikua mlamba miguu mabeberu vilevile, ila huku nje anawaaminisha ni mwamba.
 
Aisee huyu mwamba yupo juu sana kitendo Cha kuinua Taifa lake katika kilimo na miundo mbinu kama umeme na maji na kwa wazee Bure na mafisad kuwekwa ndani bigup kwake ww hujui chochote zaidi ya masingeli yako
 
Watu wanaandika habari zake nyingi za uongo Ili wapate engagement mitandaoni, na sidhani kama nishida yake labda kama anaziandika yeye au wanaziandika kwa kufata maelekezo yake.
Shida wala haipo kwa wanaozusha.

Shida ipo kwa wajinga wanaoamini kila kitu kinachomhusu yeye, hook, line, and sinker halafu ukiwaelimisha wanaleta ubishi.

Yawezekana wala siyo wajinga. Kuwaita wajinga ni kuwapendelea. Na ujinga unafutika.

Hao ni wapumbavu.
 
Mawazo yangu ni kuwa Hiki nako ni kituko kumsengenya jf ktk international forum mtu ambaye hata haijui jf wala hajui kuongea kiswahili. Bora tafsiri hizi kwa kifaransa na kiingereza zirushe youtube au x au forum yoyote yenye audience kubwa ukutane na spana za ma pan Africanist
 
Hiyo mission uliyojipa itakupa ugonjwa wa sukari, shinikizo la juu la damu na msongo wa mawazo tu. Huwezi waambia kitu waafrika juu ya Traore wakakusikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…