Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,021
- 142,920
Naam.Huyu jamaa soon wanamuondoa
Usimpangie yakheHalafu ukiacha hiyo migwanda yake ya njano njano anayovaaga, na hicho kibastola chake cha maji, kwa nini huwa anavaa ‘glopes’ [kwa nyie mlio Rio Linda, ni gloves]?
Nothing about this guy makes any sense!
Mi gloves ya nini muda wote?
Ushamba tu.
View attachment 3334261
Kazi yangu ni ku debunk narratives za uongo kumhusu yeye.Hata kumwandika hapa jf, ni kuzidi kumtangaza na kumpa umaarufu
Yeye kwa sasa ni maarufu sana, iwe kwa kuandikwa kwa mabaya au mazuri, ni gwiji aliyeteka vyombo vya habari
Sijampangia. Namshangaa tu.Usimpangie yakhe
Unataka avae kama uvaavyo wewe?
Huo nao ni ushamba
Lakini sifa yake kuu ni mwanajeshi, hili usilisahau chiefSijampangia. Namshangaa tu.
Sina uwezo wa kumpangia cha kuvaa.
Ila, nina uwezo wa kumshangaa mavazi yake.
Kuvaa migwanda ya kijeshi muda wote ni ushamba tu.
Lakini mkuu Nyani Ngabu shida ni ushamba, shida ni sifa za uwongoKazi yangu ni ku debunk narratives za uongo kumhusu yeye.
Hana ubora wowote ule. Ni mshamba mshamba tu anayevaa migwanda kila sehemu.
Wewe na yeye nani mjanja?Kazi yangu ni ku debunk narratives za uongo kumhusu yeye.
Hana ubora wowote ule. Ni mshamba mshamba tu anayevaa migwanda kila sehemu.
Kama sifa yake kuu ni mwanajeshi ikulu anafanya nini sasa?Lakini sifa yake kuu ni mwanajeshi, hili usilisahau chief
Mbona hujauliza kwanini wale maafande wanaoonekanaga taifa siku za maonesho ya kijeshi Huwa wanavaa Hadi Yale ya magotini na kwenye viwiko?Halafu ukiacha hiyo migwanda yake ya njano njano anayovaaga, na hicho kibastola chake cha maji, kwa nini huwa anavaa ‘glopes’ [kwa nyie mlio Rio Linda, ni gloves]?
Nothing about this guy makes any sense!
Mi gloves ya nini muda wote?
Ushamba tu.
View attachment 3334261
Hahahaa. Wivu?
Nimehoji sana kuhusu hao wanajeshi wanaofanyaga maonyesho kwenye sherehe.Mbona hujauliza kwanini wale maafande wanaoonekanaga taifa siku za maonesho ya kijeshi Huwa wanavaa Hadi Yale ya magotini na kwenye viwiko?
Matumiz ya lugha za kejeli pia inaonesha kuwa wewe unachuki binafsi nyingi juu ya Trailer kuliko kutaka kujua reasons behind style yake ya maisha, Jambo ambalo linanifkirisha sana kwani Kwa sasa ninaamini Afrika hakuna raisi wa maana kuliko Trailer. Lakini pia ukitaka kujua kwanini anatembea na silaha hiyo uliyoiita ya maji nenda kafuatilie nature ya upatikanaji wa uongozi Nchini Burkina Faso na usaliti uliopo katika mapinduzi ya kijeshi. Natamani Hayati JPM angemkuta huyu Traole naimani Kwa nature yao ya uongozi wangefika mbali sana na wangekuwa marafiki wa karibu.
Najua mtoa Uzi unapenda viongozi kama mama, haya MITANO TENA ufurahi
Traole ni kiongozi wa kijeshi na combat ndio vazi la askari mkuu unataka avae Nini?Nimehoji sana kuhusu hao wanajeshi wanaofanyaga maonyesho kwenye sherehe.
Hujui kuwa nimeshawahoji?
Mimi na yeye mimi si mjinga kama yeye.Wewe na yeye nani mjanja?
Viongozi wa kijeshi huongoza majeshi makambini huko.Traole ni kiongozi wa kijeshi na combat ndio vazi la askari mkuu unataka avae Nini?
Mkuu naanza kuwa na mashaka sana na level yako ya uelewa, unatumia nguvu nyingi sana kutuaminisha haupo sawaKuwaza waza upinde ni uthibitisho wa kupinda.
Umepinda [you’re not straight. You’re ghey].
Mkuu shauri familia yako izae mtoto mwingine hapo haikuwa bahati🤣🤣Viongozi wa kijeshi huongoza majeshi makambini huko.
Sifa za uongo uongo tu.
Dumb Africans.