Uzushi mwingine kumhusu Ibrahim Traore!

Uzushi mwingine kumhusu Ibrahim Traore!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,066
Reaction score
136,448
Ukiona mtu anazushiwa sifa lede kede basi ujue huyo mtu ni mweupe kichwani.

Sasa inadaiwa eti Ibrahim Traore kamuandikia barua Papa Leo.

Inadaiwa ni barua ambayo hakuna kiongozi mwingine wa Kiafrika ambaye amewahi kuthubutu kuandika maneno ambayo dikteta uchwara aliandika 🤣.

Huamini ninachosema? Fungua video hapo chini uone.

“IBRAHIM TRAORÉ sends SHOCKING MESSAGE to the new POPE LEO XIV… and LEAVES EVERYONE SPEECHLESS… The young president of Burkina Faso, Ibrahim Traoré, shocked the world by sending a historic letter to the new Pope Leo XIV after the death of Pope Francis. With bold words and painful truths, he confronted the Church over the Vatican’s wealth while Africa suffers in misery.”


View: https://youtu.be/NHfiPk3Bvt0?si=o3L1EmNtZsh9WBA_

Je, ukweli ni upi? Ukweli ni kwamba huo ni uzushi tu unaolenga kumpamba huyo dogo.

 
Halafu ukiacha hiyo migwanda yake ya njano njano anayovaaga, na hicho kibastola chake cha maji, kwa nini huwa anavaa ‘glopes’ [kwa nyie mlio Rio Linda, ni gloves]?

Nothing about this guy makes any sense!

Mi gloves ya nini muda wote?

Ushamba tu.

IMG_7913.jpeg
 
Halafu ukiacha hiyo migwanda yake ya njano njano anayovaaga, na hicho kibastola chake cha maji, kwa nini huwa anavaa ‘glopes’ [kwa nyie mlio Rio Linda, ni gloves]?

Nothing about this guy makes any sense!

Mi gloves ya nini muda wote?

Ushamba tu.

View attachment 3334261
Usimpangie yakhe

Unataka avae kama uvaavyo wewe?

Huo nao ni ushamba
 
Hata kumwandika hapa jf, ni kuzidi kumtangaza na kumpa umaarufu

Yeye kwa sasa ni maarufu sana, iwe kwa kuandikwa kwa mabaya au mazuri, ni gwiji aliyeteka vyombo vya habari
Kazi yangu ni ku debunk narratives za uongo kumhusu yeye.

Hana ubora wowote ule. Ni mshamba mshamba tu anayevaa migwanda kila sehemu.
 
Halafu ukiacha hiyo migwanda yake ya njano njano anayovaaga, na hicho kibastola chake cha maji, kwa nini huwa anavaa ‘glopes’ [kwa nyie mlio Rio Linda, ni gloves]?

Nothing about this guy makes any sense!

Mi gloves ya nini muda wote?

Ushamba tu.

View attachment 3334261
Mbona hujauliza kwanini wale maafande wanaoonekanaga taifa siku za maonesho ya kijeshi Huwa wanavaa Hadi Yale ya magotini na kwenye viwiko?


Matumiz ya lugha za kejeli pia inaonesha kuwa wewe unachuki binafsi nyingi juu ya Traole kuliko kutaka kujua reasons behind style yake ya maisha, Jambo ambalo linanifkirisha sana kwani Kwa sasa ninaamini Afrika hakuna raisi wa maana kuliko Traole. Lakini pia ukitaka kujua kwanini anatembea na silaha hiyo uliyoiita ya maji nenda kafuatilie nature ya upatikanaji wa uongozi Nchini Burkina Faso na usaliti uliopo katika mapinduzi ya kijeshi. Natamani Hayati JPM angemkuta huyu Traole naimani Kwa nature yao ya uongozi wangefika mbali sana na wangekuwa marafiki wa karibu.


Najua mtoa Uzi unapenda viongozi kama mama, haya MITANO TENA ufurahi
 
Mbona hujauliza kwanini wale maafande wanaoonekanaga taifa siku za maonesho ya kijeshi Huwa wanavaa Hadi Yale ya magotini na kwenye viwiko?


Matumiz ya lugha za kejeli pia inaonesha kuwa wewe unachuki binafsi nyingi juu ya Trailer kuliko kutaka kujua reasons behind style yake ya maisha, Jambo ambalo linanifkirisha sana kwani Kwa sasa ninaamini Afrika hakuna raisi wa maana kuliko Trailer. Lakini pia ukitaka kujua kwanini anatembea na silaha hiyo uliyoiita ya maji nenda kafuatilie nature ya upatikanaji wa uongozi Nchini Burkina Faso na usaliti uliopo katika mapinduzi ya kijeshi. Natamani Hayati JPM angemkuta huyu Traole naimani Kwa nature yao ya uongozi wangefika mbali sana na wangekuwa marafiki wa karibu.


Najua mtoa Uzi unapenda viongozi kama mama, haya MITANO TENA ufurahi
Nimehoji sana kuhusu hao wanajeshi wanaofanyaga maonyesho kwenye sherehe.

Hujui kuwa nimeshawahoji?
 
Back
Top Bottom