imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,674
- 71,041
Wao wanaposti tu huenda hata hio Malawi hawaijuiPia nilichogundua, wengi wa watoto hawa wa sikuhizi hawajui Hastings President Omuyaya
Wao wanaposti tu huenda hata hio Malawi hawaijuiPia nilichogundua, wengi wa watoto hawa wa sikuhizi hawajui Hastings President Omuyaya
Wana utoto mwingi sana japo miongoni mwao wamo na watu wazima lakini akili zao ziko UbeligijiMpaka nikaanza kuwaza, pengine sijaelewa mada iliyoko mezani.
Shukrani imhotep kwa ufafanuzi.
Pia nilichogundua, wengi wa watoto hawa wa sikuhizi hawajui Hastings President Omuyaya.
Wao wanaposti tu huenda hata too Malawi hawaijui
Tatizo nafikiri ni mfumo wetu elimu labda, mbona sisi tulikuwa tunamjua Kinjekitile Ngwale utasema tulikuwa naye kwenye vita vya MajiMajiHawa vijana hawajui vitu vingi.
Nyerere mwenyewe hawamuelewi vizuri.
😀😆😁
Haya turudi kwenye mada sasa, kwa unavyoelewa wewe je; ni kweli Kamuzu alihasiwa ili asimgegede na hatimae kumpa mimba Malkia?Kuna uzushi mwingi Sanam hata huyo kamuzu unaemsemea sio kamuzu halisi
Waingereza walituletea kamuzu fake
Inasemekana alihasiwa (sababu sijui)Haya turudi kwenye mada sasa, kwa unavyoelewa wewe je; ni kweli Kamuzu alihasiwa ili asimgegede na hatimae kumpa mimba Malkia?
Sasa anapataje burudani wakati hata haidindiInasemekana alihasiwa (sababu sijui)
Lakin hakuwahi kuwa na familia
NA alipendelea Sana kuona wananawake wakicheza Ngoma (ndolo) yaani wakikata mauno yeye kwake burudaaaaaniii
Nyie watu wazima nendeni kule kwny kipindi cha today in perspective ndipo panawafaa.Wana utoto mwingi sana japo miongoni mwao wamo na watu wazima lakini akili zao ziko Ubeligiji
bado kidogo nipaliwe na maji 😂😂😂😂Magu uongo amezidi. Na hivi wananchi wake wengi ni vilaza basi ndio anazidi kuwaongopea.
hiyo ya Carlos umenikumbusha mbali Sana hivi wabongo tuna akili timamu kweli !?Mayunga alikua anageuka mti mkavu kwny vita vya Kagera.
Gaidi carlos alikua anapita kwny bomba la maji machafu anatokea bafuni kwa queen elizabeth akiwa anaoga anapiga nae story baadae anasema kimya kimya.
Bongo kwa mapicha picha ni noma sana,No wonder tuliambiwa Idd Amin anakula nyama za watu.
NakubaliMiaka ile kulikuwa hakuna internet kwahiyo mjanja mmoja akifanikiwa kutoka nje ya nchi akirudi na uongo wake watu walikuwa wanaamini...
Ulienezwa na yule yule aliyedai kwamba Carlos ni:
- Real life villain.
- Anavaa viatu vilivyodizainiwa mbele nyuma hivyo ukiangalia alama ya kiatu unaona alitoka kumbe ni aliingia.
- Kwamba Carlos alikua ana uwezo wa kusimama mbele yako na usimuone.
- Kwamba Carlos kwa kutumia dizaini ya hivyo viatu na uwezo wa kufichama aliwahi kumbaka malkia wa uingereza.
Ulienezwa na yule yule aliyedai kwamba Carlos ni:
- Real life villain.
- Anavaa viatu vilivyodizainiwa mbele nyuma hivyo ukiangalia alama ya kiatu unaona alitoka kumbe ni aliingia.
- Kwamba Carlos alikua ana uwezo wa kusimama mbele yako na usimuone.
- Kwamba Carlos kwa kutumia dizaini ya hivyo viatu na uwezo wa kufichama aliwahi kumbaka malkia wa uingereza.
Kwamba Malkia alikuwa cheap kiasi hicho mpaka kamuzu kufikiriwa kutaka kumnyandua, dahHaya turudi kwenye mada sasa, kwa unavyoelewa wewe je; ni kweli Kamuzu alihasiwa ili asimgegede na hatimae kumpa mimba Malkia?