Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 405
- Thread starter
-
- #21
mimi ni mwanamke lakini ukweli,kuna urembo mwingine ni uchafu na mateso.....mtu unaweka wigi wiki nzima husafishi hadi linanuka.mba na magonjwa ya ngozi hayakuishi,kila siku we kuweka mafuta na kupulizia spray,wazungu wenzao wana osha daily or three times a week
na wengine mikucha wanaweka migundi kucha zinaharibika kabisa na wakati mwingine zinamnyima kufanya baaadhi ya shughuli,unafuga kucha ndefu mara nyingine mi-bakteria tu ......tuwe na kiasi, si issue ya hela,healthwise na comfortability iwepo pia.....
mimi napenda mtu awe natural.......kujiremba kuwe minimal sana.....usiwe kama unamkosoa Mungu kwa kutaka kuongeza kila kitu hadi unaonekana hujiamini au unalazimisha jambo!!! :hand::hand:
Mtoa mada naomba nikuambie tuu kujiremba kwetu sio tunataka wakaka wavutiwe nasi bali ni mwenywe kuwa huru na mwili wako, kama kuna sehemu ya mwili huipendi unaifanyia marekebisho kama pesa ipo..
kumbuka kila mtu anapenda awe na id yake lol
Dada Michelle unatumia soda gani??
Naomba juice ya watermelon/embe kaka Gosbertgoodluck! asante sana!:wink2:
hili swali ni very tricky...
unaweza kukuta natural ni nzuri
na ya cosmetic pia safi.....
mimi nafikiri kabla ya urembo wanawake wajali zaidi afya zao
kutumia pesa nyingi kwenye cosmetics wakati huli vizuri huwezi kuwa mrembo...
Do you mean kuna wanawake wamefikia hatua ya kucompromize kati ya bajeti ya kula na ya kununua vipodozi!! Duuu, kama ndivyo, basi hiyo ni kali!!
Ndugu zangu, wapenzi wa jukwaa hili,
Leo naleta hoja nzito kidogo. Najua baadhi ya akina dada watakwazika. Kwa hiyo, naomba mnisamehe.
Siku hizi limezuka wimbi la akina dada na hata akina mama kujilemba kwa namna mbalimbali kuanzia rangi ya mwili, nywele, kucha, midomo na wengine wamefikia hatua ya kunywa au kupaka dawa za kichina za kuongeza makalio na maziwa. Wengine wanasuka nywele ndefu na wanaongea kwa mbwembwe huku wanatikisa vichwa vyao na kushikashika nywele kama wafanyavyo wanawake wa kizungu. Wengine wamefikia hatua ya kubadili hata sauti na namna ya kuongea!!
Najua dada zetu wanafanya hivyo kwa lengo la kupendeza na wengine lengo lao ni kuwavutia wanaume. Lakini mimi binafsi sijui ni nini kimenitokea! Inawezekana ndiyo abnomality hiyo. Kadri mwanamke anavyojilemba zaidi ndivyo hamu ya kufanya nae mapenzi inavyopungua. Ukweli ni kwamba nikilala na mwanamke ambaye ni natural yaani mwenye nywele za kawaida anayesuka mtindo wa 'twende kilioni' au amezibana tu, wowowo, chuchu na sauti natural huwa napata nguvu nyingi za kupanda mlima ikilinganishwa na ninapolala na mwanamke mwenye kucha za bandia, nywele za bandia, na midomo iliyopakwa rangi nyingi. Sijui ni ugonjwa au ni jambo ambalo hata wanaume wenzangu huwa linawakumba. Tafadhali karibuni kwa mawazo.
Sijui nifanyeje Dada yangu manake natamani nikuletee hiyo juice na kukunywesha kabisa ili niuburudishe moyo wako. Naomba upokee kwa imani.
Mnh...umeshanyoa kule pahala!!Acheni watoto wa watu wajirembe wang'ae...
Acheni wafanye wanayowapendeza jamani. Maisha yenyewe mafupi. Usipojiremba sahv sijui utajiremba wapi!
Ila wadada punguzeni maana wengine mnakuwa kama manyau. Yaani wengine nikikutana nao hadi mimi ndio naona aibu jinsi walivyo vituko.