UZURI WA MWANAMKE NI NINi?

Najua wengi haswa wadada mtabisha lakini mwanamke hana dini. Hivyo kigezo cha dini ni bure tu. Mwanamke Figure tu. Uso na tabasam kila saa.

Kwanza mi sio dada

Nani kasema mwanamke hana dini? Akina Rwakatale ni watu ganj?
 
Kwa Tanzania, mwanamke ni kila kitu kwani kuna wale wanaopenda makalio, kunuka ukurutu mwilini, kunuka mdomo, kunuka makwapa. Utashangaa utaona demu hana hata mvuto ila ana mzinga wa nyuki kama wa Mamaa mimi49 (ila yeye ni mzuri) na watu/jamaa wanamlilia kutaka kuvuna asali yake. Hawataki chochote zaidi ya makalio tu. Bongo bwana:frusty:
 
Last edited by a moderator:
Tujiulize sisi wote hususani wanaume. Unapomuona mwanamke kwa mara ya kwanza anakuvutia, je huwa unavutika na kitu gani? Hapa huwezi kuzungumzia tabia kwa vile humfahamu hivyo hata tabia yake huijui. Dhahiri yafuatayo yanachangia. Sura (reception), Maungo (Body structure) Mwendo wake, anavyoongea pamoja na mengine mengi yanayofanana na hayo. KUZALIWA KWA NDAMA NI PUA NA MASIKIO, MAPEMBE NI MADOIDO TU YANAOTA UKUBWANI. Tabia na uwajibikaji katika nyanja zote utazijua baada ya kuwa naye karibu kwa muda mrefu.
 
mi sina mzinga wa nyuki wala pakacha la samaki..
 
Last edited by a moderator:
Kwanza mi sio dada

Nani kasema mwanamke hana dini? Akina Rwakatale ni watu ganj?

Hao ni akina Rwakatare leo hii tu. Angempata Hamisi mwenye kauwezo siku zileee alipokuwa anaanza leo angeitwa Saumu.
List ni ndefu mno walioziasi dini zao na kubadili maudhui kwa kisingizio cha kupenda mtu
 
Hao ni akina Rwakatare leo hii tu. Angempata Hamisi mwenye kauwezo siku zileee alipokuwa anaanza leo angeitwa Saumu.
List ni ndefu mno walioziasi dini zao na kubadili maudhui kwa kisingizio cha kupenda mtu

Duh haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…