Safi sana haya mavitu, yanapendeza sana kwa vijana, hasa ukute kavaa suruali buga anatokelezea aseee π!.
Ni vile ujana una mwisho ningeweza kuvaa ila ndo no more time, wao ni wakati wao wacha wavae wapendese, wakati wetu hayakuwepo haya madude.
Alafu nilidhani ni 8kilo likiwa mguuni, kumbe hata uzito wa 1kilo hayafiki π!.