Uzuri wa gari ni bodi

Huku kwetu gari ni siti bwana, gari ikiwa na siti mbili tu inaitwa kigari
 
Jingine hill lipo pale corner bar
 
Kiukweli mm naangalia body bana yan ukipita nayo barabaran watu wanageuza shingo, lakin pia na angalia KM lilizotembea.
 
Gari ni tyre jamani
Ukiwa na Tyre mpya hata porini unakwenda
Ila gari mpya tairi ya kuungaunga mara pancha
Gari ni Tyre jamoni
Tyre ni guu wana falsafa
Toto likiwa na guu basi kila kona litakuwa zuri
Huu uzi tunaelewa wana fasihi tu kulikuwa hakuna haja mkuu kutoa mana
 
Nilipouona uzi huu nikajua baaaaaaaaasi kumesha kucha,na wanaozungumziwa ni wanawake!
 
Picha ziongezeke tafadhali.
Maana huu uzi mzuri kweli
 
Kiukweli mm naangalia body bana yan ukipita nayo barabaran watu wanageuza shingo, lakin pia na angalia KM lilizotembea.
KM inakuwa siri yako...
 
Kwangu mimi uzuri wa helikopta ni pangaboi
Magari nimewaachi wasiojiweza maana mtu mwenye hsdhi yangu haendeshi gari

Fumbo lako nimelielewa mkuu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…