Inategemea ni mahali gani, kama ofisi ipo serious kutafuta wafanyakazi hawafikirii kigezo cha urembo, kama ofisi inataka mtu wa kungonoka inaweza kutumia kigezo hicho, but jaribu kuwa smart hata kwa nguo yako ya kawaida tu na utakubalika.
Habari zenu JF Ladies and Gentlemen.....
From my perspective and experiences mbali mbali katika maeneo mbali mbali nime observe saana hili suala la Uzuri/Urembo/Utanashati unavyochukua nafasi kubwa saana katika kupata huduma mbali mbali katika jamii yaani ni kwamba tunapotembelea/tembelewa katika office, organizations, groups, institutions mbali mbali the way wewe personally unaonekana ndio itayo pelekea aina ya huduma na mapokezi utayopata
Uzuri/Urembo ama utanashati ni kitu cha kwanza kabisa kua considered then inafuata hali yako ya kifedha.. kama mbaya ama nzuri . (hii haraka haraka inakua skimmed kwa jicho ikipimwa na posture kama ipo confident, simu uloshika, hair style, viatu n.k) Hii tabia hasa mijini inakua kwa kasi mno, mkionana na mtu mara ya kwanza anazingatia kwanza how you look, then nguo ulizovaa (assumed thamani) sometimes hata kama umekuja na usafiri Then maybe ongea yako Local?? Sophiscated?? Ordinary?? Accent?? it is not fair BUT the truth
Kwa Mfano
Kunaweza kukawa watu wanahudumiwa hapo na mhudumu awe wa kike au wa kiume akawa na attitude kama vile anavo toa huduma kwa wahusika ni kama anawafanyia favour (hali ni wazi ndio kazi inayomuweka mjini ) Hapo hapo akaja (acha mtu anaemfahamu . ) mdada mrembo/mzuri OR mkaka mtanashati/mzuri Sura yoote na attitude ikabadilika ghafla kwa tabasamu ulovamia sura yake ghafla!!!...Na amini usiamini huja yenyewe inevitably
Hata hivyo sio katika huduma peke yake
Hili suala ni chronic hata katika maeneo ya kazi.. huchangia mtu kupata kazi.. ama kupanda cheo ama kubebwa bebwa na maboss kisa tu uzuri wake unawa changanya n.k.. Mfano Mzuri nina wabunge wawili wadada nafahamu kwa karibu kwa first names basis (alafu woote ni singles..) hawa wadada, ni mfano mzuri saaana wa walochaguliwa sababu ya Urembo/Uzuri but infact hakuna kitu wanaweza kufanya Sad Mmoja alishinda uchaguzi wa ubunge jimbo Fulani wakati wa kampeni hajawahi hata enda eneo husika kujinadi
Hii issue ni kitu ambacho watu wengi hatupendi kufanyiwa huku cha ajabu ukute na sie hufanya hivo hivo katika maeneo yetu ya kujidaia . Sina maana kua ni sehemu zoote ama watu woote Lah! Ila ni most of the maeneo/wahudumiaji .
Ombi Kwenu wana JF
- Naomba tujaribu jadili nini hasa chaweza changia kumpandisha alie Mzuri/Mrembo/Mtanashati.. kuhudumiwa haraka, kupendelewa/kubebwa ama kuthaminiwa hali hicho ambacho anakua favoured hata Yule ambae sio Mzuri/Mrembo/Mtanashati anaweza provide
- Ikiwezekana tushee experience mbali mbali katika maeneo/insitituions mbali mbali ili kupata picha kamili ya sula zima liko kwa kiasi gani .
- Mtu unapojikuta katika hio hali ya kunyanyapaliwa . Ufanye nini??
Natanguliza Shukrani
Pamoja Saaana
AshaDii (ADI)
Habari zenu JF Ladies and Gentlemen.....
From my perspective and experiences mbali mbali katika maeneo mbali mbali nime observe saana hili suala la Uzuri/Urembo/Utanashati unavyochukua nafasi kubwa saana katika kupata huduma mbali mbali katika jamii
Ombi Kwenu wana JF…
- Naomba tujaribu jadili nini hasa chaweza changia kumpandisha alie Mzuri/Mrembo/Mtanashati.. kuhudumiwa haraka, kupendelewa/kubebwa ama kuthaminiwa hali hicho ambacho anakua favoured hata Yule ambae sio Mzuri/Mrembo/Mtanashati anaweza provide…
- Ikiwezekana tushee experience mbali mbali katika maeneo/insitituions mbali mbali ili kupata picha kamili ya sula zima liko kwa kiasi gani….
- Mtu unapojikuta katika hio hali ya kunyanyapaliwa…. Ufanye nini??
Natanguliza Shukrani…
Pamoja Saaana…
AshaDii (ADI)
My woman
Ukiangalia ulivyoeleza hapo juu
Sababu kubwa ya hao wahudumu kuonekana kutoa extra attention kwa watu wanaoonekana si walalahoi ni kwamba
Sasa kuiondoa hii kero si rahisi, ngoja nifikirie kama inaweza kuondolewa . . . . .
- Hao wateja "Warembo aka Mahandsome" wanatabia ya kusema "Keep change" kama hela iliyobaki anaona ni ndogo kwake. Mfano kanunua vitu kwa kutoa noti ya sh 10,000/= then ikabaki change sh 700/= anakwambia "baki nayo". Sasa hizi "baki nayo" kwa siku zikitokea mara 25 tayari ana 700 x 25 = Tsh 17,500/= ambayo ni Tsh 525,000/= kwa mwezi. Hela hii ni nje na mshahara!!!!
- Kuna biashara za ziada zinafanyika, nje na kuhudumiana kichakula ambayo ni NGONO. Si wadada wala wakaka. Akivutiwa na mtu wa kwenye misosi na anampa hela za kujikimu, basi lazima ampendelee.
My woman
Kwa upande mwingine ni hivi
Usikute mtu ana gari, nguo za bei mbaya, anajirusha migahawa na mahoteli ya bei mbaya . . . .
. . . Jaribu kujua anapoishi . . . UTACHOKA!!!
Lakin ulisemalo lipo kila kona . . . .
Sisi ofisini kwetu, kwa wafanyakazi wanaotumia gari za ofisin (yaani Staff Buses) nao hujikuta wanawekwa kwenye makundi
Ukionekana una mwili mdogo, huvai kibosi basi unachukuliwa kama vile unafanya kazi za ufagiaji ofisin, kupeleka chakula kwa mabosi au kupiga deki showers, na madhara yake ni kwamba hata wakati wa kupeleka wafanyakazi ofisin wanapuuzwa na kuachwa vituoni. Huku kazin inajulikana ni wavivu wa kazi maana wakichukua daladala wanachelewa sana. Na hilo tatizo tumelitatua baada ya hao wafanyakazi kulisema ktk vikao na wakurugenzi, na matokeo yake wamepewa ruksa kwamba, endapo wakiachwa vituoni wachukue tax hata kwa sh 20,000/= na apewe risiti ya tax. Akileta ofisin anakabidhiwa dereva wa staff bus ailipe, akikataa anakatwa mshahara.
Shosti mzima?
Nitachangia kwenye bold hapo.
Nitaanza kwa kusema kuwa uzoefu umenifundisha kusoma mazingira kama unatafuta kazi.Niliwahi kukosa kazi nzuri sana huko nyuma kwa kushindwa kujua nifanye nini ili kuuza zaidi ya CV. Kazi ya mwanzo ilikuwa ya kimataifa lakini zenye kutaka mhusika kutembelea maeneo mbalimbali yakiwemo makambi ya wakimbizi. Nilshangaa nilipokosa kazi ya mwanzo kwa vile nilionekana sitamudu kazi za field na kwamba nina uzoefu zaidi na mambo mengine ya kimataifa ( kisa ni kwa vile CV yangu inaonyesha uzoefu anga hizo na jinsi nilivyovaa au kujiweka!)
Kazi ya pili nilishajifunza. Nilipoitwa kwenye interview nilivaa mavazi ya kiafrica na kupunguza makali ya CV na kusisitiza zaidi uzoefu wa grassroots.Kujibu maswali kwenye medani ya kimataifa haikuwa issue.Ajabu na kweli kazi niliipata na kujulishwa in less than 2 hours baada ya interview. Hivyo basi utanashati unaweza kumpoza mtu vilevile.
Mafundisho ni mengi lakini nitashare huo mfano mmoja tu kwa sasa.
Nimeobserve hili swala kwenye banks nyingi hapa tanzanzania.
Wanaume watanashati, wenye mvuto na tena wakiwa weupe ni an added advantage ya kupata kazi.
My woman
Ukiangalia ulivyoeleza hapo juu
Sababu kubwa ya hao wahudumu kuonekana kutoa extra attention kwa watu wanaoonekana si walalahoi ni kwamba
Sasa kuiondoa hii kero si rahisi, ngoja nifikirie kama inaweza kuondolewa . . . . .
- Hao wateja "Warembo aka Mahandsome" wanatabia ya kusema "Keep change" kama hela iliyobaki anaona ni ndogo kwake. Mfano kanunua vitu kwa kutoa noti ya sh 10,000/= then ikabaki change sh 700/= anakwambia "baki nayo". Sasa hizi "baki nayo" kwa siku zikitokea mara 25 tayari ana 700 x 25 = Tsh 17,500/= ambayo ni Tsh 525,000/= kwa mwezi. Hela hii ni nje na mshahara!!!!
- Kuna biashara za ziada zinafanyika, nje na kuhudumiana kichakula ambayo ni NGONO. Si wadada wala wakaka. Akivutiwa na mtu wa kwenye misosi na anampa hela za kujikimu, basi lazima ampendelee.
Aiseeeee!!!!!!My woman
Kwa upande mwingine ni hivi
Usikute mtu ana gari, nguo za bei mbaya, anajirusha migahawa na mahoteli ya bei mbaya . . . .
. . . Jaribu kujua anapoishi . . . UTACHOKA!!!
Lakin ulisemalo lipo kila kona . . . .
Sisi ofisini kwetu, kwa wafanyakazi wanaotumia gari za ofisin (yaani Staff Buses) nao hujikuta wanawekwa kwenye makundi
Ukionekana una mwili mdogo, huvai kibosi basi unachukuliwa kama vile unafanya kazi za ufagiaji ofisin, kupeleka chakula kwa mabosi au kupiga deki showers, na madhara yake ni kwamba hata wakati wa kupeleka wafanyakazi ofisin wanapuuzwa na kuachwa vituoni. Huku kazin inajulikana ni wavivu wa kazi maana wakichukua daladala wanachelewa sana. Na hilo tatizo tumelitatua baada ya hao wafanyakazi kulisema ktk vikao na wakurugenzi, na matokeo yake wamepewa ruksa kwamba, endapo wakiachwa vituoni wachukue tax hata kwa sh 20,000/= na apewe risiti ya tax. Akileta ofisin anakabidhiwa dereva wa staff bus ailipe, akikataa anakatwa mshahara.
aaaisseee!!! This is news to me!! Dah! kwa hio weusi ni dhahiri hatuna soko.....
My woman tell me lol!!!PA.... Give me a break jamani....
Kuna ukweli ndani yake nimeishawahi kukutana na kitu kama hichoShosti mzima?
Naomba tupanue wigo kidooogo ili pia watu wengi zaidi wafaidike na mazungumzo haya.
Nitachangia kwenye bold hapo kuhusiana na kupata/kukosa fursa zaidi ya kuhudumiwa.
Nitaanza kwa kusema kuwa uzoefu umenifundisha kusoma mazingira kama unatafuta kazi.Niliwahi kukosa kazi nzuri sana huko nyuma kwa kushindwa kujua nifanye nini ili kuuza zaidi ya CV. Kazi ya mwanzo ilikuwa ya kimataifa lakini zenye kutaka mhusika kutembelea maeneo mbalimbali yakiwemo makambi ya wakimbizi. Nilshangaa nilipokosa kazi ya mwanzo kwa vile nilionekana sitamudu kazi za field na kwamba nina uzoefu zaidi na mambo mengine ya kimataifa ( kisa ni kwa vile CV yangu inaonyesha uzoefu anga hizo na jinsi nilivyovaa au kujiweka!)
Kazi ya pili nilishajifunza. Nilipoitwa kwenye interview nilivaa mavazi ya kiafrica na kupunguza makali ya CV na kusisitiza zaidi uzoefu wa grassroots.Kujibu maswali kwenye medani ya kimataifa haikuwa issue.Ajabu na kweli kazi niliipata na kujulishwa in less than 2 hours baada ya interview. Hivyo basi utanashati unaweza kumpoza mtu vilevile.
Mafundisho ni mengi lakini nitashare huo mfano mmoja tu kwa sasa.
Soko lipo, ila ukiwa na mweupe na wote mkiwa na same qualifications yeye atakuwa prefered!
Hio Avatar ilinifanya nikusahau dear.... Maneno yako nikajua this is CPU original....
Nimependa the perspective ulotoa hapo juu.... ni insight ambayo ni kweli kabisa in most
cases... How ever, umelenga katika insititutions Kubwa ambazo hata wenye fweza wanatembelea..
There are other places za kawaida tu.... yaani unaweza kuta ni receptionist (Me au Ke) ambapo
ni wazi hata pesa haitolewi pale.... hapa waweza semaje??
My woman tell me lol!!!
Kuna ukweli ndani yake nimeishawahi kukutana na kitu kama hicho