Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Madam tinna cute, usiteswe na inferiority complex, tupo wanaume wengi tu wenye flavour na MOBONGE.
Poa bro.
Madam tinna cute, usiteswe na inferiority complex, tupo wanaume wengi tu wenye flavour na MOBONGE.
Ndo hapo ninapomshanga.
Ila umeona kitenge cha huyo dada hapo kwenye comment yangu, huyo alietupia na ka-kiblouse cheupe.
Kapendeza kwa kweli.
sana nshaiba mshono mwenzio.
Hahaha!
Shosti ukitaka mishono we nambie.
Nina mishono kama alfu hv ya sie tuliojaliwa miili.
usijali ngoja nijeNitakwambia nikishaona uko in.
He! umeamua kumuunguza kabisa?Washawasha, njoo umnusuru kidume mwenzio na moto wa Jehanamu huku.
Excellent, najua kama iko tight, lakini mjue mnatuumizaga hivooo...