Uzoefu wa printer xerox

Kuna hii inaitwa Epson L1300 bei yake inacheza 1.5 Milion au 1.4, inaprint mpaka A3, ila ni single function inaprint tu. Advantage kwenye wino hizi inkjet hausumbuk yaan unachukua wino wako u ajaza kwenye tanks unapiga kazi, na wino wake ni elf 3 mpaka 5 kwa chupa moja inategemea upo mkoa gan. So kwa tanks 6 ukichukua wino wa elf 3 means elf 18 unapiga kazi haswa.
 
Hii inaizidi l805 paper size tu.
 
Back
Top Bottom