Uzoefu wa printer xerox

Hv l805 inaprint tshirt? How?
Unaweza kuprint kwa kutumia transfer papers yaan, unaprint artwork yako kwenye hizo aina za paper then ila paper unaweka juu shat, alafu una press kwa heat juu ya hiyo karatasi basi ila art work yako itakuwa imeamia kwenye shati lako.

Pia unaweza printia vikombe kama una heatpress
 
shida yake sio bei tu ya wino bali upatikanaji pia wa wino labda uagize online
 
Nimeelewa content yako brother. Ndio nikauliza unafanyaje? Coz hapa nipo nayo huwa nazitengeneza lakini sikuwahi kujua hili. Maelekezo tafadhali
Ipo hivi unaandaa maandishi yako ambayo ylisha kwisha yaedet kwa computer harafu unasett T,shert yako kama vile unavyosett karatasi kwa size yake kwenye printer kuna kipenyo cha
karatasi
CD
kava za CD
T-shert
 
Ni printer nzuri sana na zinadumu...

Ila spare parts zake ni gharama sana...
Feeder roller zake...
Fuser assembly yake...
Cartridge toner na drum zake...
 
Asanteni kwa mawazo nishavuta xerox 7225 embu nisubili matokeo
IMG_20211231_150037_935.jpg
 
Hii naitimia kuprint Cd, Id, Picha ila kaz kubwa inatake time coz inaprint page moja kwa sekunde 14 approximation page 6 kwa dakka hiyo xerox nimeona kwa dakka naweza print page 25
Vp kuhusu l805 nayo inachukua sekunde 14 kuprint?
 

ACHA KUJITAFUTIA USUMBUFU MBELENI,

NUNUA CANON IR 2206
UTULIE.

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
IR 2202,2204,2206 hizo zote ni printer zilizo changamka,

Kama unataka photocopy machine tafuta Canon IR 2520 ,2420 nk achana na hizo Ir22xx ni printer zilizo kuzwa hizo.

Xerox ni mashine nzuri sana ila kama upo dar, lakin kama upo mkoani achana nayo maana drum yake tu kuipata mikoan sio mchezo achilia mbali fixing unit au film sleave yake zinasumbua sana kupatikana
Na kwa mikoani hata toner cartridge zake ni changamoto labda utumie mfumo wa ku refill ambapo changamoto kubwa huwa ni kupata toner original ya ku refill na isitoe copy faint.
 
Back
Top Bottom