Uzoefu wa biashara ya umiliki wa bodaboda

Top gun maverick

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,020
2,601
Habari wananzengo,

Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili, wa masomo chuo fulani Cha serikali huko Dodoma,naenda straight to the point kwamba nataka nifanye saving ili panapo uhai mwakani moja ya financial planning yangu,

Ni kununua brand new BODA BODA kuanzia 1.6 million, hivyo nimesoma thread nyingi Sana hapa jukwanii.na final decision yangu ni kupata bodaboda ambayo perday itaniletea 7000 kila siku. Najua Kuna constant risks, na Kuna calculated risk Kama upotevu wa boda boda.

But zote ni moja ya changamoto hivyo ningependa kuomba msaada wa uzoefu wenu katika hii operational business plan.

asante...
 
Wazo zuri, anza mapema but huwa ni 40000 per week alwayz lakin ukipata kijana mwaminifu unaweza pewa hata hiyo 50000 kwa wiki cha msingi jikaze udhibiti matumizi ili upate hicho ulichokipanga
 
enhe challenge za hio bussiness
Challenge ni dereva kutoleta rejesho kwa wakati,
Pili ajali
Tatu unakuta service zinakuandama kwa hata wiki tatu mfululizo na bumu limekata

NB, pikipiki hazina changamoto kubwa ya kiutaalam hivyo utafaidi
Nyongeza Mimi najilipia ada 1.5M inayochangiwa na pikipiki kwa 70% ila unatakiwa uwe na roho ya kutotamani hela
 
Chalange ni dereva kutoleta rejesho kwa wakati,
Pili ajali
Tatu unakuta service zinakuandama kwa hata wiki tatu mfululizo na bumu limekata
NB,pikipiki hazina changamoto kubwa ya kiutaalam hivyo utafaidi
Nyongeza Mimi najilipia ada 1.5M inayochangiwa na pikipik kwa 70% ila unatakiwa uwe na roho ya kutotamani hela
Aisee bravo...Sana mkuu watu Kama nyie dunia nzima Ni wachache
 
Chalange ni dereva kutoleta rejesho kwa wakati,
Pili ajali
Tatu unakuta service zinakuandama kwa hata wiki tatu mfululizo na bumu limekata
NB,pikipiki hazina changamoto kubwa ya kiutaalam hivyo utafaidi
Nyongeza Mimi najilipia ada 1.5M inayochangiwa na pikipik kwa 70% ila unatakiwa uwe na roho ya kutotamani hela
Naomba elimu kidogo, pikipiki umenunua mil 1.6 au mil 2 , kilasiku hesabu 8000 Siku 320 in mil 2.5. Na umempa MTU mkataba wa mwaka ,so faida ni laki 9?mbona naona ndogo? Mil 2 Kwa mwaka inaweza lets mil 5 Kwa mwaka biashara ingine .naomba elimu
 
Ni kweli lakini uzuri wake kila wiki unapata chako so huwezi compare na zingine .
Pili usimamizi wake ni rahisi sana

NB: Mkataba sio garentee ni makubaliano yenu, wengine wanaleta hela everyday lakin kila kitu unalipa wewe(Bima nk)
 
Back
Top Bottom