Uzoefu nilioupata kuchukua mkopo Standard Chartered

Uzoefu nilioupata kuchukua mkopo Standard Chartered

Postata dah, nilidhani kwa kuwa ni benk ya umma ingekuwa afadhali, kwa kweli najuuuta kuzaliwa Tanzania. wanadai riba ni 15% lahaaulaa? kweny mkataba unaopewa baada ya kitu wanachoita mkopo ku/#&@2"? riba inabadilika 15.5 baada ya kukatakataa ukijihisi kama hakuna usalama! riba huwa 100%

Nimekoma nimeumia nimesononeka nimeshikwa na jazba nimepata mshtuko nimeona bora magufuli atunyooshe.

Tulikuwa tunajinasbu tuna serikali? tuna Rais? mawazir? wkt tunanyongwa, jamaa kama anajua kuna mwisho akiri jipu la riba kwenye mabenk ni la kikwete na mkapa, hizi benk hazifati sheria hata kidogo?
laana mbaya sana

mkuu mleta thread ulichofanyiwa kinafanyika siku nenda rudi.

Nilikuwa sehem flan, ukichunguza salar slip za viongoz au wakuu wa idara hawakopi, ukichunguza tunaokopa ni sisi wadogo basi nchi hii imeuzwa kwa wamiliki wa mabenk
NATAMANI RAIS ATOE TAMKO KUPITIWA MIKATABA YA WATEJA BENK TENA WAANZE NA POSTA

Jamani, hizi sio benk 5mil unalipa ten, 10mil unalipa 20mil. 6mil unalipa 12.

Mungu atulinde tu
 
Banking industry ya Tanzania ni wizi na utapeli mtupu,na hii yote lawama ni kwa serikali kwa (BOT) kwa kutokuwa strict kwa mabenki,mabenki hayajali wajasilia mali na wateja wadogo wao wanadeal na serikali,parastatal organizations na kuwekeza kwenye treasury bonds tu.
Hili nakubaliana na wewe.
Na kwa kuwa kuna wakubw andani ya Banks hizi basi imekuw ani Janga na BOT imekuwa haina msaada wowote zaidi ya jina tu.
Ila juzi waziri nilimsikia kwamba kuna sheria wanaipitisha,sasa najiuliza kwani hakuna sheria za Kibank?
Hizi Banks na hivi vi Micro ni balaa ni Jipu kubwaa,na BOT kimyaaaa maana baadhi yao wamo kwenye Board of Directors
 
huku ndo kwenye wazee wa madili na ndiko akina shose walikotajirikia 1.4%+ 1% watu wakagawana 6m usd na sasa ni matajiri wa kutupwa
Hahahah,aisee hii Nchi kuna sehem tena iwe Basi.
Magu akisema Mikataba ya wajasiriamali waliokopa Bank ipite basi Banks kibao zitafungwa,maana itabidi kulipa watu fidia telee kama alivyolipa Fast Jet kwa nauli ya 42,000 kulipa Milioni 50 aisee.
Lakini Waziri au Gavana husika anaweza kukaa kasubiri mpaka Raisi aseme,maana mikono ya wakuu imo humu
 
Ulifanya kosa kuuchana mkataba wa kwanza na kusaini wa pili. Ulichokuwa unapaswa kufanya ni kukomaa nao tu kwenye ule mkataba wa kwanza na kung'ang'ania kuwa huo ndo mkataba unaoutambua. Kama wangekuzingua kwa hilo ulikuwa na haki ya kuwapeleka mahakamani.
Ushauri: Ni vizuri watu wakawa wanapata ushauri wa kisheria kabla ya kusaini mkataba wa aina yoyote.
 
Mwenye pesa isiyopungua milioni kumi aje tufanye kazi .itazalisha zaidi ya hizo ndani ya miezi mitatu.kuna kitu anatakiwa kununua na kuja nacho baada ya hapo ni kukaa hapa na kuchukua chake kwa muda huo.kwa aliyetayari tuwasiliane kwa asiye tayari apite tu.na kazi iyo nitakayomwambia itakuwa ni kila mwaka anaingiza pesa bila ya kuingiza pesa ya ziada
Mkuu najaribu kuku PM lakini txt zinafail. Sasa sijui shida iko wapi . Nitumie namba yako pm kama vp
 
Mwenye pesa isiyopungua milioni kumi aje tufanye kazi .itazalisha zaidi ya hizo ndani ya miezi mitatu.kuna kitu anatakiwa kununua na kuja nacho baada ya hapo ni kukaa hapa na kuchukua chake kwa muda huo.kwa aliyetayari tuwasiliane kwa asiye tayari apite tu.na kazi iyo nitakayomwambia itakuwa ni kila mwaka anaingiza pesa bila ya kuingiza pesa ya ziada
Acha utapeli,naona mmejipanga kusikia hela
 
Kuna siku niliwahi kusema kun Banks zitavunga zenyewe.
Ila muda bado unavuta,lakini lazima ziachie.
Kwaku Wakopaji wengi hawarejei tena kukopa,sasa hili ni tatizo
Wakati Banks za wenzetu,akipata Cutomer mmoja basi ndio balozi wake amletee wateja wengine,ila leo Customer mmoja anafukuza mamilioni ya Wateja.
Sheria zipo na zinasimamiwa na BOT sijui chini ya Gavann lakini Banks nyingi zinamikoni ya Viongozi.
Acha Magu atulie atumbua na kwenye Banks hizi,maana BOT waliisha isoma ila najua badoa nauporo nao atawarudia tena kwa style nyingine.Lakini Banks hizi ni Janga la Taifa


 
Mkuu najaribu kuku PM lakini txt zinafail. Sasa sijui shida iko wapi . Nitumie namba yako pm kama vp

Ni kweli kuna tatizo ata mm nashindwa kujibu.namba nitakutumia ya whatsapp
 
Mkuu avatar yako kwanza haistahili kuchukua mikopo ya kibenki yenye riba, unaonekana kabisa kuwa ni mtu unaependa haki.
Benki zote Tanzania ni ulaghai na wameruhusiwa na serikali kufanya hivo.
 
Natafuta hela nilipe deni lote niachane na nyinyi kabisa
ulifanya kosa kubwa sana kusaini mkataba wa pili na kuuchana ule wa kwanza
Usingesaini wasingeendelea na mchakato ungeweza kuwashitaki wangekupa pesa nyingi sana
 
Bank tele tz zipo hivyo wanaficha kuvutia wateja.
 
Bank tele tz zipo hivyo wanaficha kuvutia wateja.
 
Back
Top Bottom