Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,779
- 22,879
Mkuu na kitu kingine ulikisahau.Pole sana mkuu, kwa ufupi wasingekufanya chochote na sio kweli kwamba walikua wamesha process kila kitu, wanaprocess kitu gani wakati hakuna mkataba uliosainiwa na wewe wenye hiyo riba mpya? Sema hao wafanyakazi wanakua na wakati mgumu sana kwa kuwa ufanisi wao unapimwa kutokana na idadi ya mikopo wanayotoa, ndio maana watakugombea kama sukari na kukushawishi uchukue mkopo ili waweze kufikia malengo waliyowekewa.
Sikushauri kulipa pesa yote kwa sababu inaweza kukufanya ukashindwa kufanya mambo yako mengine, usivuruge kusudi la mkopo wako. Acha waendelee kukukata kidogokidogo!
Hawakukuomba kamisheni baada ya kupatiwa mkopo mkuu?
Rangi ya hizi hela zetu nayo ni mbaya.
Wekundu huleta uchu. Rangi ya damdam hushawishi kula.
Kwa hiyo mkopaji alipoona wekundu, akapata uchu wa kula. Basi tayari wenziye walipomtazama machoni kuona kuwa tayari kakolea kwa uchu, ndiyo wakambadilishia mkataba kwa makusudi, lakini hakuweza kukataa kwa ile stage ya hamu aliyokuwa amefikia.
Yaani ni sawa na danga kukupandishia dau baada ya kuwa mmevuliana nguo.
Utapanda dau huku umenuna na kujawa na hasira, lakini yeye atakuwa kafikia lengo lake.
Sent using Jamii Forums mobile app