Uzoefu kwa wanaume ambao hawajaoa

Uzoefu kwa wanaume ambao hawajaoa

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
Mwanaume kamili lazima umpe mwanamke hela. Miaka ya nyuma ulipata msichana umekahonga gari na madude kibao alafu kakakutosa sasa hivi moyo wa kuhonga umekwisha kabisa.

Umri unakwenda umeamua kuwa na marafiki wa kike kama 20 wote hujawatongoza ila mipango yako ni kuchunguza tabia zao baadae upige mimba but mizinga wanakupiga kama kawaida tena wote. Je, ni halali kuwapa? Au kuwalia bati tu.
 
Mizinga unayopigwa apo kama unakuwa na kumbukumbu naona ni bora uliyemuhonga gari kuliko hiyo gharama ya mizinga ya hao wanawake
 
sasa ukiwalia bati utaumia tumbo na mvua ikinyesha nyumba zao zitavuja
 
Ni halali kabisa kuwapa mkuu........mapenzi ni pesa.
 
tumia mdomo vzr badala ya kuhonga utashangaa ww ndo unahongwa. anamchuna jamaake anakuletea.

mnakutana na bint unapanga mkutabe maal pagharama ok unaaza kuagiza kuku sijui ma dompo unataka ajuone unazo. sasa unategemea aache kukuchuna.
 
We wape tu hela wote, mapenzi pesa bhana. usipohonga utaishia kulalamika wanawake wajeurii.
 
Utamu na raha tunapata ote arafu wanataka tuwape ela kweli jamani!
 
Tumia akili,hili swala alihitaji hata kushauriwa mkuu.
 
Hivi suala la kuhonga nalo mtu unaomba ushauri kweli jamani!
 
Mkuu huwa sihongi maana kuokuhonga ni kipimo chenyewe cha kumpima mwanamke
 


Umri unakwenda umeamua kuwa na marafiki wa kike kama 20 wote hujawatongoza ila mipango yako ni kuchunguza tabia zao baadae upige mimba but mizinga wanakupiga kama kawaida tena wote. Je, ni halali kuwapa? Au kuwalia bati tu.
Brother brother, it ain't trickin if you got it. Besides, umeamua mwenyewe kuwa nao wengi hivyo karibu.
 
Back
Top Bottom