Uzoefu kutoka USA: Kodi mbalimbali zinazotozwa nchini Marekani

Afu majitu yalivyo na akili fupi yanaangalia kodi zao saiz tuu, fuatilieni had wanapata hayo maendeleo walilipeje kodi?
 
Kukamua kodi ni jambo moja na matumizi ya hiyo kodi ni jambo lingine mkuu.

Marekani wananchi wanaiona kodi yao, sasa sisi huku kodi yetu hata hatuoni inaenda wapi. Hizo SGR wanazosema wanajenga kwa kodi zetu kumbe tunadanganywa wameomba mikopo, sasa izo kodi zinajenga nini.

Tunachoona ni malipo makubwa ya mishahara ya viongozi tu. Sa mwananchi unapataje ari ya kulipa kodi.
 
Basically the whole article talks about income tax.

Nina uhakika ata Income Tax ya Tanzania aipo tofauti sana na US kama ilivyo kote duniani only that TRA awajaiamulia na wakisema waikomalie individual income tax; hell will break loose. Watanzania uelewa wa maswala ya kodi bado.

Alichoongeza Mwigulu ni consumption tax.

Ni vitu viwili tofauti, well except for the fact consumption tax and levies lengo ni kumkamua mwananchi zaidi nje ya income tax.

Lakini ebu tuwafikirie watoto wanaotembea na madumu nao huko vijijini they need water.
 
kwani fedha za kutumwa zinatola wapi?
Mkulima aliooo kijijini ambaye anafanya biashara kubwa ya mazao anakatwa vipi kodi?
Mmachinga anayeuza hadi laki kwa siku analipaje kodi?
Kuna alternative yoyote ya namna bora ya kulipa na kukusanya kodi?
 
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 Yaaaan nilikua nahisi hakuna aliyejuaa
 
Usifananishe ulipaji wa kodi wa nchi zetu za dunia ya tatu na marekani au ulaya wao wanalipa kodi kwa furaha kwa sababu kodi unayolipa unaiona jinsi inavyotumiwa na inavyokuhudumia ukikosa kazi unalipwa na unatibiwa na mtoto chini ya miaka Kumi na nane anatibiwa na mzee unalipwa wanayoita child credit huku kwetu kodi yote wanalipana wao na jamaa zao juzi tu tumeona wizara ya fedha wanavyolipana hizo kodi kidogo zinzolipwa.
 
Hata huku pembejeo za kilimo zinakuwa subsidised
poor urgument tatizo kubwa la wakulima wa Tanzania liko kwenye bei nzuri za mazao bei zikiwa nzuri hawahitaji ruzuku ya pembejeo watajinunulia wenyewe
Marekani subsidy hutolewa kwenye bei ya mazao ya mkulima bei ikiwa ndogo serikali inamlipa mkulima pesa ku top p pia serikali hukatia wakulima bima ya mazao yao kwenye kampuni za bima ili hali ya hewa ikiwa mbaya na uzalishaji ukawa mdogo mkulima alipwe na bima fidia

Watumia simu walio wengi Tanzania yaani majority ni watu wa chini yaani wakulima wadogo,wafanya biashara ndogondogo,machinga,mama nitilie na wanafunzi wa shule na vyuo ndio maana kampuni za simu zina vifurushi vya wanafunzi

hizi tozo zinaumiza wanyonge
 
Sisi tuna rasilimali za kutosha kuweza kizalisha tofauti na Marekani.

Usifananishe Tz na USA na pia America wanapora mataifa madogomadogo
Kwa hii biashara ya BOT na sera za pesa nchini,kila mtu atakufa na hakuna uchumi utabadirika.
 
Vipi anatokea kiumbe 1 anakomba b 1 hafanywi chochote huo niuzalendo sio?
 
kwani fedha za kutumwa zinatola wapi?
Mkulima aliooo kijijini ambaye anafanya biashara kubwa ya mazao anakatwa vipi kodi?
Mmachinga anayeuza hadi laki kwa siku analipaje kodi?
Kuna alternative yoyote ya namna bora ya kulipa na kukusanya kodi?
Wote hao as far as governments are concerned wanatakiwa kulipa personal income tax, ndio maswala ambayo hiyo article uliyo post inaelezea jinsi inavyokwanguliwa huko kwao.

Nchi za wenzetu wote hao uliowataja wanaangukia kwenye kundi la self employed hawana tofauti na mwenye duka ambae TRA imemuweka kwenye kundi la wafanyabiashara wadogo; wanatakiwa kujisajili na kulipa income tax.

Maswala ya taxation Tanzania bado sana.
 
Yaani badala ya kuiga vitu vya maana kutoka nchi hizo mnaiga upuuzi na upumbavu tu hasara hii
 
Tuanze na katiba kwanza kama ilivyo ya Marekani, then ndo tuje na Kodi kama hizo kwani tutakuwa tumeondoa mianya ya upigaji!

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
Lete poverty indices za marekani. tulinganishe na US. Au tuambie ni wangapi wako chini ya poverty line US ukilinganisha na TZ. kama huwezi hayo, acha ubwege!
Kwa hiyo wamerakani waliondoka kwenye poverty line bila kulipa kodi?
 
Mambo ya kipumbavu toka kwa mpumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…