whitefather
Member
- May 29, 2018
- 89
- 75
- Thread starter
- #21
Nashukuru kwa ushauri ,kiuhalisia kazi nafanyaKiongozi fanya kazi,makushauri tena tafuta kazi ufanye haya mambo ya kuingia gym kubebana na mavyuma huku kichwani ukiwa na mawazo upate mwanamke wa kizungu umpagawishe utapoteza muda wako.
Ila nilichouliza ni experience kuhusu victoria hearts!!