UZITO ULIOPITILIZA (overweight & Obesity) INA ATHIRI CHANCE YA KUTUNGISHA MIMBA KWA MWANAMKE.
Kama una mpango wa kubeba Mimba inabidi utambue kuwa Overweight au Underweight kuna athiri chance ya kubeba ujauzito na kuwa na mtoto mwenye afya bora.
Unavokuwa na uzito wa kawaida ina kusaidia ku boost chance ya kutungisha mimba na kuwa na ujauzito salama.
Unatambuaje kama una OverWeight, kwa kuangalia uhusiano kati ya uzito wako na kimo chako kitaalam huitwa B.M.I (Body Mass Index), tumia data zifuatazo na kufananisha na za kwako..
-B.M.I chini ya 18.5 (underweight)
-B.M.I kati ya 18.5 - 24.5 (uzito wa kawaida)
-B.M.I kati ya 25 - 29.9 (overweight)
-B.M.I juu ya 30 (Obesity).
Kuwa Overweight kuna athiri vip utungishaji wa mimba, inasababisha hormonal imbalances kitu ambacho kina athiri Ovulation ya mwanamke.
Obesity ina jihusisha moja kwa moja na PCOS (poly-cystic ovary syndrome) hii ni hali ya hormone za oestrogen & Progesterone kwa mwanamke zinakuwa hazija balance.. Pcos pia huathiri mzunguko wa hedhi wa mwanamke, utungishaji wa mimba, na kazi za moyo.
Sababu ya kuwa na tatizo la Pcos haijawa uhakika sana lakin inasadikika mwanamke mwenye Pcos huzalishwa kwa wingi hormone ya androgen, androgen ni hormone za kiume lakini hata mwanamke pia anazalisha, kitu ambacho huathiri kutoka kwa mayai ya kike kutoka kwenye ovary wakati wa ovulation..
Note:
Mwanamke mwenye Obesity kuna uwezekanao mara mbili ya kuharibika kwa ujauzito kuliko mwanamke mwenye uzito wa kawaida.
Chukua jukumu la Kujua B.M.I ya mwili wako na ukibaini una tatizo la Overweight au Obesity tafadhari chukua hatua ya kulitatua,hii ni kwa mwwnamke na mwanaume.
F.L.P tuna Bidhaa za kukusaidia kupunguza uzito uliozidi na kiwa na uzito wa kawaida kwa kutumia program zetu za F.I.T, Program hizi zipo za Aina tatu.
1-Clean 9 kwa mtu anayebidi apunguze uzito chini ya 9kg.
2-F.I.T 1 kwa ajili ya kupunguza uzito zaidi ya 10kg.
3-F.I.T 2 kwa ajili ya kujenga misuli ya mwili baada ya kutumia izo mbili za juu..ni Program ambazo zimeshatumiwa na maelfu ya watu duniani katika nchi 155+ na tanzania ukiwemo na zimewaletea matokeo Positive.
Kwa mahitaji:
call/text/whatsap 0719 700 745 na/au 0677 368 220.
Free Delivery & Consultation.