Uzinzi haufai jamani

Uzinzi haufai jamani

Habari zenu wanajamii . Hivi karibuni kwenye mwezi wa nane nilienda kwa shangazi yangu morogoro kumsalimia kwani nimuda mrefu hatujaonana yapata miaka kama mitatu hatujaonana. Nilivyofika kituoni morogoro nilipokelewa vizuri na shangazi yangu na alikuwa kabadilika sana kwani alikuwa kanawiri tofauti na alivyokuwa dar es salaam, pale kituoni shagazi alikuja na msichana mmoja mrembo sana ambaye alikuwa kimya tu muda wote mimi nikisalimiana na shangazi yangu, kiukweli nilivutiwa sana na yule mrembo kwa kuwa na sura nzuri na umbo la kuvutia na hapohapo nikaisikia sauti yake tamu na ya upole pale shangazi aliponitambulisha kwake kuwa yule dada ni mtoto wa mumewe ambaye mume wake alizaa na mwanamke wake wa kwanza ambaye alishafariki na hivyo anakaa nae nyumbani. Kiukweli yule msichana alinichanganya sana baada ya kusikia sauti yake na tabasamu lake kwani nilihisi beyonce yuko mbele yangu, alijitambulisha kwa jina moja tu la leila. Hapohapo safari ya kwenda kwa shangazi ilianza na tulichukua kama dakika kadhaa kufika nyumbani hapo kiukweli ile nyumba sitoisahau kwani ni moja ya nyumba za kifahari pale morogoro ambayo anaishi shangazi yangu, nilikaribishwa vizuri na ndani ya wiki moja ya pale nyumbani nilikuwa nishayazoa mazingira ya pale pamoja na mtoto leila kiasi tulikuwa tushazoeana. Shangazi na mjomba huwa kila siku wanakwenda kazini asubuhi na kutuacha watu watatu tu ktk nyumba ile ambao ni mimi,leila pamoja na mfanya kazi, kusema kweli kila siku zinavyozidi kwenda moyo wangu ulikuwa unampenda sana leila na hali ya uvumilivu niliona ishaanza kufika ukingoni na hivyo niliamua nifunguke ya moyoni. Nilivyomueleza ukweli wangu sikupata vipingamizi vingi kama nilivyofikiria kwani alinambia mioyo yetu inafanana kwani hata yeye alishanipenda tangu siku ya mwanzo kabisa alivyokuja kunipokea, basi kiukweli sikuamini macho yangu kujipatia mtoto kirahisi namna ile. Baada ya hapo ilikuwa kila mara lazima tujifanyie mambo yetu yaleeeeee! Siku moja hivi nakumbuka ilikuwa jumatano ambapo shangazi na mjomba walitoka mapema sana kwenda kwenye shughuli zao mimi nilikuwa namwagiamwagia bustani maji waliniaga na kuondoka, baada ya kuondoka tu nilisubiri kama dakika kadhaa niliingia ndani nilivyoingia tu nilimkuta leila nae kashaamka yuko sebulen kavaa night dress tu huku anakunywa chai, kiukweli nilishikwa na hamu palepale sebuleni baada ya kuona vile viwalo vya leila na kusababisha nianzishe kale kamchezo palepale sebuleni,tukiwa ktk hatua ya mwisho cha mchezo wetu mlango ulifunguliwa na alikuwa mjomba sijui alisahau kitu gani mpaka akarudi, kiukweli ilikuwa ni aibu sana kwani mjomba alitufumania live kwenye meza ya mlo tukinong'onoka. Baada ya kugutuka tu kila mmoja alikimbilia chumbani kwake huku nikimsikia mjomba akitukana na kuongea maneno makali. Nilivyoingia ndani tu nilivaa harakaharaka na nilichukua pesa zangu kidogo nilizokuwa nazo na nilichngulia pale sebuleni mjomba alikuwa katoka pale sebuleni na mimi nilitoka mbio nakwenda kwenye kituo cha magari ya dar es salaam nakuondoka bila kuaga. Dhumuni kuu la kwenda kwa shangazi ilikuwa kwanda kumsalimia na pia kupata fedha kiasi ya kunisaidia ktk masomo yangu ila kiukweli nimekosa kila kitu kwani mjomba kasema asiione tena sura yangu akiniona tu lazima niozee jela ukiangalia yeye pia nilitaka nimuombe fedha za kwenda kuanzia chuo. Dah! Najuta! uzinzii umeniponza nimekosa hela kwani mjomba aliniahidi laki sita na hivi niko dar hata ada ya vhuo bado sijapata. Yani majanga kweli

...na mikopo ndio hiyo mmenyimwa wengi wenu!!
ama kweli mbuzi wa masikini hazai!!
 
Morogorooooo...nilipokuwa high school karibu miaka (10) huko nyuma nilipata mtoto mkali sanaa ......dah. .....Morogorooo
 
Morogorooooo...nilipokuwa high school karibu miaka (10) huko nyuma nilipata mtoto mkali sanaa ......dah. .....Morogorooo

morogoro kule wapo wale natural beauty siyo warembo feki ambao in dressing table wanatumia masaa mawil wakiutengeneza unatural beauty
 
yani hivi sasa nimetulia kweli

kama umetulia safi soma kwa bidii sana utafanikiwa warembo wapo siku zote na wazuri zaidi watakuja jua mwili hauna shukrani simama kwenye misingi ya mungu na malengo yako utafanikiwa wote tumepita nakumbuka nikiwa for six nilikaa kwa ndugu yangu bwana alikuwepo binti pale mrembo sana alafu mdogo tuliachwa wawili kwenye nyumba ndugu zangu walisafiri kwenda kuzika kijijini dada akaanza kuja uchi yani kanga moja ndani hamna kitu alafu huku akijinadi yeye bikra da nilipata wakati mgumu kipinde kile jua pale ni kwa ndugu nilipata hifadhi ili nisome kwa kuwa sikunia kugegeda nikamwambia mungu niepushe na janga hili nikapita huo mtihani cha ajabu nikaja sikia yule binti amewahi gegedwa na mpangaji wa huyo ndugu yangu nilipokuwa naishi yule mpangaji alikuwa na pesa alafu alikuwa mwathirika mke wake alikuja kufa na mtoto wake huyo mpangaji yeye ajadhoofu sana ila akaja pata afya mpaka leo tupo na yule binti yupo ananiheshimu kama baba yake da ni mafunzo niliyo yapita je ningegeda c presha ingekuwa inapanda na kushuka nikasoma mpaka madigrii makubwa nikapata na mikazi nabadilisha kila leo tulieni wadogo zangu simamieni vision zenu ukiona unahangaika na upuuzi ujue huna vision mwenye vision hujizuia na kila ujinga ili afikie malengo yake
 
Ni ushuhuda mzuri, ila nina wasi wasi kama hiki kizazi kina moyo wa kujizuia kama ulivomudu wewe, wanawake wamekuwa walafi wa madudu yetu..wanaume wao hutamani hata kutafuna papuchi kabla hawajaanza sex...tunahitaji rehema tu, hatuna ujanja wowote kwa kuwa tunashawishiana barabarani sisi kwa sisi, tutakwepea wapi mkuu
 
inawezekana kabisa unajua binadamu tuna uwezo na nguvu za ajabu ukisema naweza utaweza tu yote yanawezekana ukiamua ila uwe na hofu ya Mungu naye atakusaidia coz wakati nasoma niliwahi fuatwa na majini yakiwa uchi yanataka nifanye nayo ngono siku zinyingine nikiwa home nimelala na mke wangu alikuja mwanamke mzuri kimahaba akitaka tulale ndo nilijua kuwa maisha haya bila Mungu huwezi coz ibirisi yupo na ana nguvu unahitaji za Mungu kushinda zinaa ulevi nk vinakuwa driven na mashetani kamasio mcha Mungu huwezi acha uzinzi punyeto ulevi so kuna tabia za kawaida na nyingine zinakuwa ni mashetani vijana wa leo wanaona kuwa ucha Mungu ni upumbavu matokeo yake wanapelekwa pelekwa mperampera na shetani hv hv haiwezekani mpaka kwa uwezo wa muungu kumbuka ulimwengu ni wa shetani na mambo yanayoeendolea ktk kizazi hiki yanaonyesha yupo anayechochea hayo so vijana wageuge kabisa ndo wataweza acha zinaa nakumbuka yesu alisema kizazi cha nyoka....
 
Back
Top Bottom