Uzinzi haufai jamani

Hadithi yako nzuri na inafundisha mtafute shigongo akupe page uwe unatunga nyingne maana una kipaji cha utunzi big up kijana
 
Duh weka hata paraghaph nimepata sana shida!!!!!!!!!!

Ndio mkome kuparamia wakina binam na genye mshindo zenu......

Leyla ukamkosa na ela ya shule ukakosa pia........
KAZANA NA SHULE KIJANA........

Kwa Enzi zetu; kijana KAKOSA MWANA NA MAJI YA MOTO....
 
ila na ww kweli kilaza sasa nyie mnagegedana daining rumu hata mfanyakazi hamumuonei aibu??kwa vyumba kulikuwa hamna??
 

utoto raha kweli, kanikumbusha michezo ya utoto(baba na mama )
 
Last edited by a moderator:
Mjomba alirudi kumla huyo huyo leila. Na lazima uozeshwe ukiwa mwaka wa kwanza.
 
Duh weka hata paraghaph nimepata sana shida!!!!!!!!!!

Ndio mkome kuparamia wakina binam na genye mshindo zenu......

Leyla ukamkosa na ela ya shule ukakosa pia........KAZANA NA SHULE KIJANA........

nooo!! leila alimpata bwana!!

lakini sasa mjomba alikomalia nini sasa pale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…