UZINDUZl RASMI WA JAMII FORUM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UZINDUZl RASMI WA JAMII FORUM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Apr 12, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,104
  Trophy Points: 280
  WADAU,

  NAOMBA NIULIZE, HIVI NI LINI AMBAPO JAMlI FORUMS ITAZINDULIWA RASMI?

  TULIAMBIWA NI MWEZI HUU WA NNE NA LEO MWEZI UNAKARIBIA KATIKATI LAKINI TAREHE BADO HAIJAWEKWA WAZI.

  TUNAOMBA UONGOZI WA JAMII FORUMS UONGEE LOLOTE KUHUSIANA NA SUALA ZIMA LA UZINDUZI ILI MIOYO YETU ITUYLIE, MAANA TUNA HAMU SANA NA UZINDUZI HUO.
   
 2. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nami naona ni wazo zuri sana tena kwa upande wangu ningetamani hiyo siku iwe mwisho wa wiki na memba wote waJF wakutane na kujuana zaidi nahisi itapendeza sana, hii ifanyike pia kwa kila mkoa ili nao wamikoani wajuane na kusheherekea pamoja siku ya ufunguzi rasmi wa JF
   
 3. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mara ya kwanza nilivyoiona title, nilidhani ya kwamba wewe ndo unatutangazia huo uzinduzi! Anyway, mimi pia sina jibu, ila katika kupitapita humu nilikumbana na hii hapa chini:
   
 4. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #4
  Apr 12, 2010
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Mkuu Bujibuji,

  Bado tunaendelea na marekebisho kadhaa, hatujamaliza, target yetu ni kuwa ifikapo Aprili 15 tuwe tumekamilisha. Ndo maana tunasisitiza watu ku-refresh ili kuona changes ambazo zimetokea kila walau baada ya 6hrs.

  Baada ya kukamilisha ndipo twaweza kuwatangazia tarehe rasmi, hata 30 April 2010 bado itakuwa Aprili au sio mkuu? :)

  Naamini majibu yangu hapo juu yamesaidia kitu walau. Lakini siamini kama endapo wana JF watakutana kuna mtu atamweleza kuwa "Mimi ndiye Mwanakijiji au Mimi ndiye mswahili pale JF; nadhani kila mtu atasema mimi ni mwana JF na huenda wengine wakadai hawajajisajili :)

  Ahsante Sinkala, naona uko makini mkuu
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Nilitaka kuuliza juu ya aina ya uzinduzi wenyewe, kumbe swali limejibiwa, kwamba watu wataenda phyisically mahala, na kubadilishana mawazo huku wakitafuna pop-corn(may-be), na maxence akiendelea na valuu taratibu, wakati Reverend akiendelea na Mvinyo wa Kiitaliano sawia!
  Ni wazo zuri(only kama litatake-off), japo mambo kadha (kama T-shirts )yameishia kuwa 'white elephant' na yanaozea kwenye mabandiko!
   
 6. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kwenye uzinduzi lazima nije yaani lkn sitasema kuwa mimi ni cheusimangala.wana Jf tujitokeze tukutane tafwadhali hata kama mtu hutaki kusema kuwa wewe ndio fulani nadhani itakuwa raha tu kukutana na kubadilishana mawazo na ku-dare ku-talk openly face to face.
  i can't wait for the launching.
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  watu watakujua kwa umbo lako cammon!
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Apr 13, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Asante Maxence kwa maelezo na maandalizi mazuri ya uzinduzi wa JF. Naomba na sisi wa mikoani msitusahau ktk uzinduzi huo au hata hapo baadae.
   
 9. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa tutakutanaje bila kufahamiana kwa hiyo tutakuwa tunaongea tuu bila kutambulishana looh hiyo itakuwa si sawa... mimi nitajitambulisha kwa jina langu original is tete'a'tete au mnasemaje....
   
 10. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  MAx naomba Uzinduzi ufanyike mwezi wa Sita kati kati kwani mimi ni mdau nina maoni yangu naweza kujitolea hata gharama za ukumbi au hata Tshirt
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,104
  Trophy Points: 280
  kwa avatar zako tutakugundua.
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  now you guys are talking.
  Jukumu la kila mdau ni lazima liwe ni kufanikisha, na si kwenda kuona alIchofanya MaxENCE..
  I wish your suggestion was taken on-board, OP!
   
 13. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hapo ndipo unapokosea,je akiwa ni diana double diff!je wakitokea kina dada watatu wenye maumbo yanayofanana!basi nitavaa joho kubwa kuliko la askofu!
   
Loading...