Uzinduzi wa samsung galaxy s4 leo

Uzinduzi wa samsung galaxy s4 leo

mfocbsjut

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
479
Reaction score
259
Jaman leo ndio inafanyika launch ya samsung galaxy s4, naomba tuwe tunapeana updates juu ya kitachokuwa kinaendelea
 
samsung-galaxy-s4-vs-iPhone-5s-vs-HTC-M7-release-date.jpg
 
mkuu hii website mmliki wake ni mtanzania au? nilikuwa siifahamu ina mambo mazuri mengi ya kujifunza sana, sorry kwa kutoka nje ya mada.

Mimi ndiye mmiliki ndugu yangu, ni Mtanzania 100%
 
  • Thanks
Reactions: UKI
Mimi ndiye mmiliki ndugu yangu, ni Mtanzania 100%

ki ukweli kwa roho safi hongera sana maana watu wengi huanzisha blog/website kwa mambo mengine kabisa hasa siasa na udaku, ila umekuja kivingine kabisa mkuu, taratibu tu watu watajua umuhimu wako, all the best mkuu, umenifundisha vitu vingine ambavyo nilikuwa hata sivijui ingawa kwa mtu mwingine hataona umuhimu wake,
 
Ahsante sana ndugu yangu, maneno hutia moyo sana na inaleta faraja kubwa kuona kwamba wapo wanao appriciate unachofanya. Tuko wote kaka. Si wengi wanaoweza kuwa na ushujaa wa kusema ukweli kama hivi. Gajetek pia ina web app kama unatumia iPad.
 
  • Thanks
Reactions: UKI
Back
Top Bottom