Uzinduzi wa kitabu cha Mpendazoe: Polisi Jamii-Dodoma

"Nimeishi kwa matumaini kwa muda mrefu, nikitegemea siku moja mambo yatabadilika ndani ya CCM, mpaka leo hii sioni dalili, ni heri niheshimu dhamira yangu kama Mwalimu Nyerere alivyotuasa kwamba CCM si mama yangu.
Nasononeka CCM imegeuka gulio la kila mtafuta cheo na utajiri haramu. CCM imegeuka kimbilio la kila mwenye dhamira ya ulanguzi. CCM imepoteza maadili ya uongozi na imekua ngome ya mafisadi wanaotafuna utajiri wa nchi yetu. Natoka CCM na sijutii uamuzi wangu" By F. Mpendazoe wakat anatangaza kuachia ngazi kutoka CCM.
 
Inabidi wapatikane wakala wa kukisambaza sehemu zingine,bei ni nzuri
Wachapishe tu nakala za kutosha,tutanunua
 
Duh! ckupata kujua kaka! Ebwana tujuze zaidi yaliyojiri!
sifa ya msomi si kufika chuo kikuu pekee, sifa ya msomi ni kuweza kusimamia kile anacho kiamin na kukielewa na si kupelekwa na watu et kwa masilah yao binafsi na ndiyo mana A. Babu alipata sifa ya usomi japo hakuwah kufika ngaz ya University.
 
KInauzwa kiasi gani na kinapatikana wapi? ni muhimu kuwapa watu habari njema.

Kwa wanafunzi hapa Dodoma kinauzwa elf5 na kwa wanajamii wengine kinauzawa elf6...Hapa Dodoma kinapatikana ofisi za CDM Mkoa waweza kuwasiliana na Katibu wa Vijana Mkoa anaitwa Kizito kwa namba 0715030315...Kwa maeneo mengine unaweza kuwasiliana na Mpendazoe mwenyewe kwa namba 0656650334...
 
naomba tujuzwe kitabu hki chapatikana wapi??

Kwa wanafunzi hapa Dodoma kinauzwa elf5 na kwa wanajamii wengine kinauzawa elf6...Hapa Dodoma kinapatikana ofisi za CDM Mkoa waweza kuwasiliana na Katibu wa Vijana Mkoa anaitwa Kizito kwa namba 0715030315...Kwa maeneo mengine unaweza kuwasiliana na Mpendazoe mwenyewe kwa namba 0656650334...
 
dah! kitakuwa kinauzwa wapi? yaani baada ya kitabu cha mwalimu jk"uongozi wetu na hatma ya Tanzania" sasa ni hiki cha ampendazoe ndo mpango mzima

Kwa wanafunzi hapa Dodoma kinauzwa elf5 na kwa wanajamii wengine kinauzawa elf6...Hapa Dodoma kinapatikana ofisi za CDM Mkoa waweza kuwasiliana na Katibu wa Vijana Mkoa anaitwa Kizito kwa namba 0715030315...Kwa maeneo mengine unaweza kuwasiliana na Mpendazoe mwenyewe kwa namba 0656650334...
 
Kwa wanafunzi hapa Dodoma kinauzwa elf5 na kwa wanajamii wengine kinauzawa elf6...Hapa Dodoma kinapatikana ofisi za CDM Mkoa waweza kuwasiliana na Katibu wa Vijana Mkoa anaitwa Kizito kwa namba 0715030315...Kwa maeneo mengine unaweza kuwasiliana na Mpendazoe mwenyewe kwa namba 0656650334...
shukuran kwa taarifa mkuu.
 
Nakushauri Mkuu Mpendazoe wewe jikite tu kwenye utunzi wa vitabu zaidi labda utatoka, ubunge ndio imeshindikana, Wanachedema kanunueni hicho kitabu mchangieni mwenzenu mambo magumu. Kweli siasa za Tanzania Insubstantial
 
Yeah anaishi yuko Kigamboni eneo linaitwa mji mwema, kwa sasa kumejengeka ila wakati anaenda kuishi huko, kulikuwa bado ni pori...Ila afya yake sio nzuri sana kwani umri wake umeenda kidogo. Lol...naona Kamanda Halima Mdee ndani ya mjengo..

Mji mweama hapajawahi kuwa pori, labda unaomgelea karne mbili zilizopita?

Huko ndipo anapokaa Mzee Aboud Jumbe na kulikuwa kuna mashamba toka enzi na enzi au mashamba kikwenu ni pori?
 
Kwa wanafunzi hapa Dodoma kinauzwa elf5 na kwa wanajamii wengine kinauzawa elf6...Hapa Dodoma kinapatikana ofisi za CDM Mkoa waweza kuwasiliana na Katibu wa Vijana Mkoa anaitwa Kizito kwa namba 0715030315...Kwa maeneo mengine unaweza kuwasiliana na Mpendazoe mwenyewe kwa namba 0656650334...
asante, nitamtafuta mwenyewe maana mi niko dar
 
Back
Top Bottom