Uzinduzi wa kitabu cha Mpendazoe: Polisi Jamii-Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzinduzi wa kitabu cha Mpendazoe: Polisi Jamii-Dodoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Edson Zephania, Jun 12, 2011.

 1. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mh Mpendazoe leo ndo anazindua kitabu chake cha PAMOJA TUTASHINDA mgeni rasmi ni Mh Tundu lissu. Tayari kimeshazinduliwa na sasa anaongea Mpendazoe amezungumzia jinsi alivyokanwa na Mh Sitta, Mwakyembe na Nape. Zaid tutaendelea kujuzana
   
 2. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Na sasa anaöngea Bwana Kinabo
   
 3. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dibaji yenye kurasa 3 imeandikwa na Dr. Slaa
   
 4. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #4
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mama Ananilea Nkya nae katoa ujumbe ktk kitabu hicho.
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,058
  Likes Received: 3,085
  Trophy Points: 280
  Ni zipi content za kitabu?
   
 6. Dickson Ng'hily

  Dickson Ng'hily Verified User

  #6
  Jun 12, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60
  Contents:

  1. Tanzania ya leo
  2. Vita dhidi ya Ufisadi
  3. Kilio cha Wafanyakazi Tanzania
  4. CCM Inayumba
  5. Natoka CCM
  6. Kutoka CCJ Hadi CDM
  7. Uchaguzi Mkuu 2010
  8. Maridhiano Kabla ya Katiba Mpya
  9. Janga la Elimu Tanzania
  10. Nguvu ya Vijana Katika Mabadiliko
  11. Tanzania Tunayoitaka...

  Baada ya Uzindizi sasa mada ya Umuhimu wa katiba mpya imeanza na Mh Tundu Lisu anaendelea...
   
 7. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #7
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  asante kwa kunisaidia mkuu.
   
 8. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #8
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kumbe Abuu Jumbe bado anaishi?, aliwekwa kizuizin na Nyerere mpk leo?
   
 9. Dickson Ng'hily

  Dickson Ng'hily Verified User

  #9
  Jun 12, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60

  Yeah anaishi yuko Kigamboni eneo linaitwa mji mwema, kwa sasa kumejengeka ila wakati anaenda kuishi huko, kulikuwa bado ni pori...Ila afya yake sio nzuri sana kwani umri wake umeenda kidogo. Lol...naona Kamanda Halima Mdee ndani ya mjengo..
   
 10. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #10
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Leo nimejua mambo mengi mojawapo ni kumbe Abdulrahman Babu hakuwai kwenda University? Lakin aliwah kufundisha University, dah!
   
 11. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,957
  Likes Received: 1,283
  Trophy Points: 280
  hii kali. Poyoyo kufundisha wababe! Mmmh.
   
 12. mwana wa mtu

  mwana wa mtu JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duh!hiyo ILIKUWAJE?!!!!
   
 13. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #13
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuna Public intellectual na Academic intellectual na Babu aliweza kuwa Public intellectual.
   
 14. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #14
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,058
  Likes Received: 3,085
  Trophy Points: 280
  Kitabu kimetulia sana hiki kwa maendeleo ya vijana wa leo...hzo content 5 za mwisho ziko tight,big up Mpendazoe!
   
 15. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  dah! kitakuwa kinauzwa wapi? yaani baada ya kitabu cha mwalimu jk"uongozi wetu na hatma ya Tanzania" sasa ni hiki cha ampendazoe ndo mpango mzima
   
 16. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nimepita hapo na usafiri wangu Wa INJINI KIUNO nikasikia sauti tu ila ckujua kilichokua kinaendele.athante kwa kunijuza.
   
 17. Abbasy

  Abbasy Senior Member

  #17
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nimeipenda hii kweli mabadiliko yanakaribia
   
 18. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  KInauzwa kiasi gani na kinapatikana wapi? ni muhimu kuwapa watu habari njema.
   
 19. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #19
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kinauzwa kwa sh 5000 tu kinapatikana kwny ofis za chadema mkoa hapa dodoma. Labda kwa mikoani wahusika watatusaidia humu.
   
 20. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #20
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kamanda Ng'hil atusaidie kinapopatikana kwa sehemu nyingine.
   
Loading...