Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
Wakuu naomba kiujua muda wa uzinduzi wa kampeni za cdm arumeru east sitaki kumis hii kitu ni muhimu sana
 
cjajua muda wa kuanza kampeni huko lakini sta tv watarusha live kuanzia sa tisa alasiri
 
Kuanzia mida hii ya asubuhi maandamano yanaanza taratiibu. Watakaotokea upande wa mjini watakusanyika Shangarai au tengeru waanza kuja Usa river, na Pia watakaotokea upande wa KIA na Kingori watakusanyika kikatiti na wao waanze kuelekea Usa River.
Katibu wa chadema wilaya alinieleza kuwa kuanzia saa sita na nusu saa saba mambo yatakuwa yameanza.
 

ahsante sana mkuu naamini nitaziwahi nitakuwa kia saa saba so i will be there on time;RAISI MBOWE NAMUAMINI SANA
 
Siyo Arumeru safari hii tumewashika jiulize mlikuwa mzindue jana mkashindwa mkasema mtanzidua leo mkashindwa sasa nasikia mnazindua jumatatu...mnalo safari hii

Crashwise,
Najua kwenye live coverage uko vizuri sana bila shaka leo tutazindua kampeni kwa pamoja hata wale walioko mbali na arumeru utahakikisha unawaunganisha na matukio moja kwa moja kutoka Leganga!
 
CCM wameshchanganykiwa ndo maana hata hawaeleweki hata tarehe ya uznduz wao. Wameshapoteza dira ktambo sana.
 
Asante kwa update mkuu,endelea kutuhabarisha na kama kuna uwezekano tupia kitu ya picha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…