Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni Mwanza uambatane na Ahadi za ujenzi wa Barabara njia nne zinazoingia jijini na ukamilishaji wa jengo la abiria uwanja wa ndege

dndagula

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
1,457
1,442
Kimsingi jiji la Mwanza linapanuka kila siku na ni kitovu cha biashara Afrika Mashariki na Kati na hususani kusini ya Jangwa la Sahara. Jiji hili ni la pili kwa Dar na pia linachangia asilimia kubwa kwenye Pato la Taifa ikiwemo kilimo, viwanda, uvuvi, madini, mifugo nk.

Hivo uwepo wa miundo mbinu imara ni jambo la msingi. Ninakisihi chama changu cha CCM Katika ahadi binafsi za Rais na Mgombea wetu asisahau kuzungumzia kwa vile ni maeneo yanayosemwa sana. Mambo yatakayoacha legacy kwa kanda ya ziwa.

Tunashukuru kwa miradi ya meli na daraja la Busisi Kigongo na mengineyo. JPM tutakupa kura ili ukamilisha hayo niliyoyataja kwa kanda ya ziwa. Maendeleo ya CCM ni juishi yaani watu na vitu kwa pamoja.
 
Back
Top Bottom