Uzinduzi wa GODORO la mama mwenye nyumba

Uzinduzi wa GODORO la mama mwenye nyumba

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,402
Reaction score
1,618
Habari zenu jamani,

Mama mwenye nyumba wangu amenunua godoro jipya leo asubuhi, tano kwa sita.

Mume wake amesafiri miezi nane sasa, sasa mama huyo ambaye amenizidi miaka zaidi ya 30 ameniomba tulizindue godoro lake kwa usiku wa leo tu na hatutarudia tena kufanya hivyo.

Dah, kweli dunia ina mambo. Mi nilijua ni majengo tu huwa yanazinduliwa kumbe hadi magodoro.

NITAKIENI UZINDUZI MWEMA JAMAN.
 
Sasa hilo nalo la kutueleza ngoja ufumaniwe na huyo bibi ugeuzwe
 
Hahahhaha nakuombea ukienda mume wake arudi ukamatwe
 
Baba mwenye nyumba anarudi leo ngoja uje ukatwe ko..ro..meo !!
 
Ha ha ha ha.., mtoto na bibi yake sio!!! Uzinduzi mwema. Mlale tu usiingize kikojoleo chako kwenye naniliu..
 
Mama yake?
Wanasema mtoto Wa mwenzio mkubwa wenzio

wee!! Mtoto wa mwenzio mwanao!! Huyo dogo hana lolote anapenda mimama tu ukute alikuwa analivizia hilo limama siku nyiiingi!! Mitoto ya siku hizi...!!!
 
eti punda!! Ha ha mama mwenye nyumba leo mbona analo sa ka mumewe anakibamia atakuja kuzamia afu asiibuke!! He he heee!!

Ndio kusema ID yake inapresent kikojoleo chake? Basi bibi mwenye nyumba atakua binti leo
 
Ndio kusema ID yake inapresent kikojoleo chake? Basi bibi mwenye nyumba atakua binti leo

ha ha ha ebu nambie sifa kuu ya punda! Ndo hivyo ! Bibi leo ataipata!! Chezeya mr vorosa wee!!
 
Back
Top Bottom